-
Rais Rouhani: Iran haina ajenda ya kufanya mazungumzo na Marekani
Sep 03, 2019 07:55Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran haijawahi kuwa na ajenda ya kufanya mazungumzo ya pande mbili na Marekani.
-
Rais Rouhani: Taifa la Iran litashinda vita vya kiuchumi kwa umoja na muqawama
Aug 29, 2019 02:37Rais Hassan Rouhani amesema, wananchi wa Iran watashinda vita vya kiuchumi vilivyoanzishwa na Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu kwa umoja wao na muqawama.
-
Rouhani: Iran haitaki ugomvi na nchi za dunia
Aug 27, 2019 11:58Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haitaki ugomvi bali inachopigania ni usalama wa kieneo na kimataifa na vile vile kushirikiana vizuri na nchi rafiki.
-
Rouhani: Wananchi wa Iran watasimama kidete mbele ya njama za maajinabi
Aug 24, 2019 08:15Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia njama za maadui ambao wanalenga kutoa pigo kwa Mapinduzi ya Kiislamu na kusisitiza kuwa: "Wananchi wa Iran wamesimama kidete mbele ya njama za maajinabi"
-
Rouhani: Kujiondoa Marekani katika JCPOA kuna maana ya kukiuka makubaliano ya kimataifa na ugaidi wa kiuchumi
Aug 23, 2019 02:45Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kujiondoa Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kuna maana ya kuvunja mkataba, kukiuka ahadi, kupuuza makubaliano ya kimataifa na ugaidi wa kiuchumi.
-
Rais Rouhani azindua rasmi mfumo wa makombora wa Bavar-373
Aug 22, 2019 07:15Sambamba na maadhimisho ya Siku ya Sekta ya Ulinzi ya Iran tarehe 22 Agosti, Rais Hassan Rouhani leo amezindua rasmi mfumo wa makombora uliotengenezwa na wataalamu wa hapa nchini wenye uwezo wa kupiga shabaha masafa marefu wa Bavar-373.
-
Rais Rouhani: Kudhamini usalama wa Ghuba ya Uajemi hakuhitajii vikosi vya kigeni
Aug 14, 2019 12:51Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, ili kudhamini usalama na utulivu katika Ghuba ya Uajemi hakuna haja ya kuweko vikosi vya kieneo katika eneo hilo.
-
Rouhani: India na Pakistan zivute subira ili kuzuia machafuko huko Kashmir
Aug 11, 2019 14:12Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo ya simu na Waziri Mkuu wa Pakistan kwamba: Iran inazitolea wito India na Pakistan zizuie machafuko na kuuliwa watu wasio na hatia katika eneo la Kashmir kwa pande mbili hizo kuwa na subira na uvumilivu.
-
Rouhani: Marekani imepoteza matumaini ya kuvunja uhuru wa taifa la Iran
Aug 07, 2019 10:55Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani imepoteza matumaini ya kuvunja na kusambaratisha uhuru wa taifa la Iran.
-
Rais Rouhani: IRGC na Waziri wa Mambo ya Nje wamekuwa vipenzi zaidi duniani kwa kuwekewa vikwazo na Marekani
Aug 06, 2019 08:05Rais Hassan Rouhani amesema, kuwekewa vikwazo na Marekani Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje kumekuwa sababu ya kuongezeka nguvu na mapenzi juu yao katika eneo na duniani kote.