Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rais Rouhani: Marekani imeshindwa na kufeli mbele ya taifa la Iran

    Rais Rouhani: Marekani imeshindwa na kufeli mbele ya taifa la Iran

    Aug 01, 2019 12:32

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mwaka jana maadui wa taifa la Iran walidai kuwa wanaweza kuuondoa madarakana mfumo wa Kiislamu unaotawala Iran, kuvunja uhuru wake na kuweka hatamu za nchi hiyo katika mikono ya White House, lakini hawakujua kwamba taifa la Iran litashinda na kuzima mashinikizo ya adui.

  • Rais Rouhani: Uwepo wa vikosi vya kigeni ndio chimbuko kuu la mizozo Mashariki ya Kati

    Rais Rouhani: Uwepo wa vikosi vya kigeni ndio chimbuko kuu la mizozo Mashariki ya Kati

    Jul 28, 2019 12:24

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, vikosi vya kigeni si tu kwamba, havisaidii chochote kwa usalama wa Mashariki ya Kati bali ni chanzo kikuu cha mizozo na migogoro katika eneo hili.

  • Rais Rouhani: Iran haitasalimu amri kwa njia ya kuketi kwenye meza ya mazungumzo

    Rais Rouhani: Iran haitasalimu amri kwa njia ya kuketi kwenye meza ya mazungumzo

    Jul 24, 2019 11:40

    Rais Hassan Rouhani amesisitiza kuwa: Iran iko tayari kikamilifu kufanya mazungumzo ya kiadilifu, kisheria na yenye kulinda izza na heshima yake, lakini haitasalimu amri kwa njia ya kuketi kwenye meza ya mazungumzo.

  • Rais Rouhani: Uhusiano wa pande zote kati ya Iran na Iraq unazidi kupanuka na kustawi

    Rais Rouhani: Uhusiano wa pande zote kati ya Iran na Iraq unazidi kupanuka na kustawi

    Jul 23, 2019 07:40

    Rais Hassan Rouhani amesema, hatua athirifu zingali zinaendelea kuchukuliwa katika kupanua na kustawisha uhusiano wa pande zote kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Iraq.

  • Rais Rouhani: Iran ina nia ya kweli ya kuacha wazi njia zote za kulinda mapatano ya JCPOA

    Rais Rouhani: Iran ina nia ya kweli ya kuacha wazi njia zote za kulinda mapatano ya JCPOA

    Jul 19, 2019 06:28

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo yake ya simu na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kwamba, juhudi za Paris za kuyalinda mapatano ya nyuklia ya JCPOA ni muhimu na kusisitiza kuwa, Tehran ina nia ya kweli ya kuweka wazi njia zote za kuhakikisha makubaliano hayo yanalindwa.

  • Rais Rouhani: Njama zote za Marekani dhidi ya Iran zimegonga mwamba

    Rais Rouhani: Njama zote za Marekani dhidi ya Iran zimegonga mwamba

    Jul 15, 2019 03:07

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, katika kipindi cha miezi 14 iliyopita, Marekani imetekeleza vikwazo vikali kabisa dhidi ya taifa la Iran, hata hivyo imeshindwa katika nyanja zote iwe ni katika uga wa kijamii, kisiasa na kadhalika.

  • Rouhani: Bodi ya IAEA imepuuza njama za Marekani dhidi ya Iran

    Rouhani: Bodi ya IAEA imepuuza njama za Marekani dhidi ya Iran

    Jul 14, 2019 07:35

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hatua ya kuendelea kutengwa Marekani katika uga wa kimataifa na kusema kuwa, mbali na nchi moja au mbili, nchi zote wanachama wa Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) katika kikao chao cha hivi karibuni zilipuuza njama za Marekani dhidi ya Iran.

  • Baada ya kupokea ujumbe wa Macron, Rais Rouhani asema: Iran imeacha wazi njia ya udiplomasia

    Baada ya kupokea ujumbe wa Macron, Rais Rouhani asema: Iran imeacha wazi njia ya udiplomasia

    Jul 11, 2019 06:28

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alisema jana jioni baada ya kupokea ujumbe wa maandishi kutoka kwa mwenzake wa Ufaransa, Emmanuel Macron kwamba, Iran imeacha wazi kikamilifu njia ya udiplomasia na mazungumzo.

  • Rais Rouhani: Waingereza ndiyo walioanzisha ukosefu wa amani baharini

    Rais Rouhani: Waingereza ndiyo walioanzisha ukosefu wa amani baharini

    Jul 10, 2019 11:33

    Rais wa jamhuri ya kiislamu ya Iran amesema kuwa hatua ya Uingereza ya kusimamisha meli ya mafuta ya Iran ni ya kitoto sana, kipumbavu na ni makosa na kwamba Waingereza ndio walioanzisha machafuko na ukosefu wa amani baharini na watakuja kuona athari zake mbaya.

  • Rais Rouhani: Kama Marekani inaogopa moto basi haipaswi kuwasha muale

    Rais Rouhani: Kama Marekani inaogopa moto basi haipaswi kuwasha muale

    Jul 03, 2019 13:01

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yana manufaa kwa mataifa yote, eneo la Mashariki ya Kati na dunia nzima na kuongeza kuwa, Kama Marekani inaogopa moto haipaswi kuwasha muale na itekeleze maazimio ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS