Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rais Rouhani: Iran haitaki vita na mapigano Ghuba ya Uajemi

    Rais Rouhani: Iran haitaki vita na mapigano Ghuba ya Uajemi

    Jun 26, 2019 12:34

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran haitaki vita na mapigano katika eneo la Ghuba ya Uajemi lakini haitaruhusu maadui kuvuka mipaka yake kinyume cha sheria.

  • Rouhani: Iran itatoa jibu mwafaka iwapo anga yake itahujumiwa tena

    Rouhani: Iran itatoa jibu mwafaka iwapo anga yake itahujumiwa tena

    Jun 26, 2019 03:24

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran haifuatilii kuingia vitani na Marekani lakini itatoa jibu mwafaka iwapo anga yake itahujumiwa tena na Marekani.

  • Rouhani: Kumuwekea vikwazo Kiongozi Muadhamu ni ishara ya kudorora kiakili wakuu wa Marekani

    Rouhani: Kumuwekea vikwazo Kiongozi Muadhamu ni ishara ya kudorora kiakili wakuu wa Marekani

    Jun 25, 2019 12:17

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hatua ya Marekani kuiwekea Iran vikwazo vipya na kusisitiza kuwa: "Kumuwekea vikwazo kiongozi wa ngazi za juu zaidi wa kisiasa, kijamii, kidini na kimanawi wa nchi ambaye si tu kuwa ni kiongozi wa Iran bali ni kiongozi wa wanaoyapenda Mapinduzi ya Kiislamu na Waislamu kote duniani ni hatua ya kichekesho na kijuba."

  • Rouhani: Uingiliaji wa kijeshi wa Marekani ni chanzo cha matitzo katika eneo

    Rouhani: Uingiliaji wa kijeshi wa Marekani ni chanzo cha matitzo katika eneo

    Jun 23, 2019 13:12

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema sera za Iran ni kupunguza taharuki, kujiweka mbali na kila aina ya makabiliano ya kijeshi sambamba na kueneza amani na uthabiti katika eneo na dunia nzima.

  • Rais Rouhani: Nchi za Ulaya zina muda mfupi wa kuiokoa JCPOA

    Rais Rouhani: Nchi za Ulaya zina muda mfupi wa kuiokoa JCPOA

    Jun 17, 2019 13:04

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi za Ulaya zina muda mfupi wa kuyaokoa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Rais Rouhani: Iran inataka uhusiano wake na Qatar uimarike kwa kiwango cha juu sana

    Rais Rouhani: Iran inataka uhusiano wake na Qatar uimarike kwa kiwango cha juu sana

    Jun 16, 2019 02:19

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa utulivu na usalama ni vitu vilivyoshikamana barabara na kusisitiza kuwa Tehran inataka utawale moyo wa udugu, misimamo ya wastani, hekima na muono wa mbali katika uhusiano wa nchi za Asia Magharibi.

  • Rais Rouhani asisitiza kuimarishwa uhusiano wa Iran na Afghanistan

    Rais Rouhani asisitiza kuimarishwa uhusiano wa Iran na Afghanistan

    Jun 15, 2019 10:42

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran inataka kuona uthabiti, usalama, amani na utulivu katika nchi jirani ya Afghanistan huku akisisitiza umuhimu wa kuimarishwa uhusiano wa nchi mbili.

  • Rouhani: Iran imezuia kupenya na kuenea ugaidi katika maeneo mengine duniani + Video

    Rouhani: Iran imezuia kupenya na kuenea ugaidi katika maeneo mengine duniani + Video

    Jun 15, 2019 08:10

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amegusia mchango wa Tehran katika kupambana na makundi ya kigaidi na ukufurishaji huko Syria na Iraq na kuongeza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu imezuia kupenya na kuenea ugaidi katika maeneo mengine duniani.

  • Rais Rouhani: Marekani ni tishio kuu kwa uthabiti wa dunia

    Rais Rouhani: Marekani ni tishio kuu kwa uthabiti wa dunia

    Jun 14, 2019 13:37

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani ni tishio kubwa kwa usalama na uthabiti wa nchi za eneo la Asia Magharibi na duniani kote kwa ujumla.

  • Rouhani: Iran inakaribisha suala la kuimarisha uhusiano na Japan

    Rouhani: Iran inakaribisha suala la kuimarisha uhusiano na Japan

    Jun 13, 2019 04:08

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa hamu iliyodhihirishwa na Japan ya kutaka kuwekeza katika maeneo ya kusini mwa Iran inadhamini suala la kustawisha uhusiano kati ya nchi mbili.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS