-
Rais Rouhani: Kamwe Iran haitotumbukia katika mkwamo kwa sababu ya mashinikizo
Jun 10, 2019 17:19Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kuashiria kwamba hatua ya Marekani ya kujiondoa katika matapatano ya nyuklia ya JCPOA haikuwa na matokeo mengine ghairi ya taathira hasi kwenye mahusiano na usalama wa nchi za eneo, amesisitiza kwamba kamwe nchi hii haitotumbukia kwenye mkwamo kupitia mashhinikizo.
-
Siasa za pamoja za Iran na Qatar; uimarishaji wa usalama wa eneo
Jun 06, 2019 08:31Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kwamba Iran inataka kuimarisha usalama wa eneo zima la Asia Magharibi na kwamba haina nia ya kuanzisha mapigano na nchi yoyote ile. Hata hivyo ameongeza kuwa iwapo Iran itashambuliwa na nchi yoyote katika eneo basi nchi hiyo itapata jibu la kuifanya ijute ni kwa nini ilianzisha mashambulizi.
-
Rouhani: Iran inafanya juhudi za kuimarisha usalama wa Asia Magharibi
Jun 05, 2019 11:42Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inafanya juhudi za kuimarisha usalama katika eneo la Asia Magharibi na haina hamu wala nia yoyote ya kuingia vitani na nchi nyingine.
-
Rouhani: Iran itaendelea na muqawama wake hadi Marekani irejee katika mkondo sahihi
Jun 03, 2019 07:10Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kufungamana na sera yake ya muqawama hadi pale Marekani itakaporejea katika mkondo ulio sahihi na ikiri kuwa ilikuwa imefuata mkondo mbaya.
-
Rouhani: Wananchi wa Iran kamwe hawataiacha pekee Quds na madhulumu wa kihistoria
May 29, 2019 13:12Rais wa Iran ameeleza kuwa wananchi wa Iran kamwe hawataiacha pekee Quds na madhulumu wa kihistoria na kuongeza kuwa: Wananchi wa Iran mwaka huu pia watashiriki kwa wingi na kwa hamasa katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds na watatangaza kuwa wataendelea kuwa imara na kusimama kidete hadi kupata ushindi mbele ya madhalimu.
-
Rouhani: Mapambano ndiyo njia pekee ya kuwakabili wavamizi
May 27, 2019 07:24Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kuwanyooshea mkono wa pongezi wananchi wa Lebanon kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kukombolewa maeneo ya kusini mwa nchi hiyo ya Kiarabu kutoka kwenye makucha ya utawala wa Kizayuni wa Israel, amesisitiza kuwa muqawama ndiyo njia pekee ya kukabiliana na wavamizi.
-
Rais Rouhani: Taifa la Iran litamfanya adui ajute
May 24, 2019 03:44Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Kwa mara nyingine, taifa la Iran litamfanya adui ajute katika vita vya kiuchumi."
-
Rouhani: Taifa la Iran halitanyenyekea madola ya kibeberu
May 22, 2019 03:48Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ustawi na maendeleo ya taifa la Iran ni matokeo ya muungano wa kaumu zote na jamii za waliowachache nchini na kuongeza kuwa: "Taifa la Iran halitayanyenyekea madola ya kibeberu."
-
Rouhani: Mapinduzi ya Kiislamu ni ya wafuasi wa madhehebu na dini zote za Iran
May 14, 2019 07:58Rais Hassan Rouhani amesema Mapinduzi ya Kiislamu sio ya wafuasi wa dini au madhehebu moja tu, bali ni ya watu wa dini na madhehebu zote za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rouhani: Umoja wa Wairani utayashinda mashinikizo ya kila upande ya Marekani
May 12, 2019 07:43Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema umoja na mshikamano wa wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu kwa mara nyingine utatoa pigo kwa vikwazo vya kiuchumi na mashinikizo ya kila upande ya Marekani dhidi ya taifa hili.