Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rouhani: Taifa la Iran litamshinda adui yeyote yule

    Rouhani: Taifa la Iran litamshinda adui yeyote yule

    May 04, 2019 08:15

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia njama za maadui dhidi ya Tehran na kusisitiza kuwa, taifa hili la Kiislamu litamshinda adui yeyote yule kwa mshikamano wake, kusimama kidete na kuwa na matumaini na mustakbali mwema.

  • Rouhani: Wamarekani hawawezi kuzuia uuzaji mafuta ya Iran

    Rouhani: Wamarekani hawawezi kuzuia uuzaji mafuta ya Iran

    May 01, 2019 12:52

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hatua ya Marekani ya kutaka kuzuia mafuta ghafi ya petroli ya Iran yauzwe katika soko la kimataifa na kusema: "Marekani haiwezi kuizuia Iran kuuza mafuta na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itauza mafuta yake."

  • Rais Rouhani asaini sheria ya kuitambua CENTCOM ya Marekani kuwa kundi la kigaidi

    Rais Rouhani asaini sheria ya kuitambua CENTCOM ya Marekani kuwa kundi la kigaidi

    May 01, 2019 03:11

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesaini kuwa sheria, muswada wa kuwatambua wanajeshi wote wa Marekani katika eneo la Asia Magharibi (CENTCOM) na vikosi vyote vinavyofungamana nao kuwa kundi la kigaidi.

  • Rouhani: Iran itaendelea kuuza mafuta licha ya mashinikizo ya Marekani

    Rouhani: Iran itaendelea kuuza mafuta licha ya mashinikizo ya Marekani

    Apr 30, 2019 12:27

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu kamwe haitasimamisha uuzaji wa mafuta yake nje ya nchi licha ya mashinikizo na vikwazo vipya vya Marekani, na kusisitiza kuwa Tehran ina njia za kuuza mafuta yake.

  • Rouhani: Njama za Marekani dhidi ya Iran zitashindwa + Video

    Rouhani: Njama za Marekani dhidi ya Iran zitashindwa + Video

    Apr 24, 2019 14:00

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Wamarekani katika kipindi cha miaka 40 sasa wamekuwa wakipanga njama kila siku dhidi ya taifa la Iran na katika muda huo wote wamekuwa wakishindwa."

  • Rouhani: Iran na Pakistan zimeamua kuunda kikosi cha pamoja cha radiamali ya haraka mpakani mwao

    Rouhani: Iran na Pakistan zimeamua kuunda kikosi cha pamoja cha radiamali ya haraka mpakani mwao

    Apr 22, 2019 15:06

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran na Islamabad zimekubaliana kuunda kikosi cha pamoja cha radiamali ya haraka cha kupambana na ugaidi katika mpaka wao wa pamoja.

  • Rais wa Iran ampokea rasmi Waziri Mkuu wa Pakistan

    Rais wa Iran ampokea rasmi Waziri Mkuu wa Pakistan

    Apr 22, 2019 07:13

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema leo asubuhi amempokea rasmi Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan katika Ikulu ya Saad Abad mjini Tehran.

  • Rouhani: Mafuriko ya Iran yamefichua 'hulka chafu' ya watawala wa Marekani

    Rouhani: Mafuriko ya Iran yamefichua 'hulka chafu' ya watawala wa Marekani

    Apr 17, 2019 13:49

    Rais Hassan Rouhani ameashiria hatua ya Marekani ya kuzuia kutumwa misaada ya nchi nyingine kwa ajili ya wahanga wa mafuriko hapa nchini Iran, akisisitiza kuwa kitendo hicho kwa mara nyingine tena kimedhihirisha hulka chafu ya watawala wa Washington.

  • Rais Rouhani: Marekani imeitaja IRGC kuwa kundi la kigaidi ili kufidia kushindwa kwake

    Rais Rouhani: Marekani imeitaja IRGC kuwa kundi la kigaidi ili kufidia kushindwa kwake

    Apr 09, 2019 15:09

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limefanikiwa kung'oa mizizi ya ugaidi katika eneo na kuongeza kuwa: "Uistikbari wa kimataifa na Marekani wanalenga kufidia kushindwa katika makabiliano na taifa la Iran kwa kulitaja Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu eti ni kundi la kigaidi."

  • Rouhani: Quds ni mji mkuu wa kudumu wa Palestina na Golan haiwezi kutenganishwa na Syria

    Rouhani: Quds ni mji mkuu wa kudumu wa Palestina na Golan haiwezi kutenganishwa na Syria

    Apr 07, 2019 02:28

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Quds ni mji mkuu wa kudumu wa Palestina na miinuko ya Golan ni ardhi ya Syria isiyotenganishika na ardhi nyingine za nchi hiyo na kwamba hatua yoyote iliyo kinyume na hivyo ni kukanyaga maamuzi wa Umoja wa Mataifa na ni kinyume na uhakika wa kihistoria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS