-
Rais Rouhani: Ushirikiano wa Iran na Iraq utastawi zaidi
Apr 06, 2019 14:52Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amehimiza kustawishwa zaidi uhusiano wa nchi yake na Iraq katika pande zote.
-
Rouhani: Kuzuia misaada ya kibinadamu kwa waathiriwa wa mafuriko ni jinai isiyo na mfano
Apr 03, 2019 15:00Rais Hassan Rouhani amesema kitendo cha Marekani cha kufunga njia za kufikisha misaada ya kibinadamu kwa waathiriwa wa mafuriko hapa nchini Iran ni jinai ambayo haijawahi kushuhudiwa na isiyo na mfano wake.
-
Rais Rouhani: Serikali itafidia hasara walizopata waathiriwa wa mafuriko
Mar 27, 2019 16:10Rais Hassan Rouhani amesema: Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu itahakikisha kwa suhula zote ilizonazo na kwa uwezo wake wote inafidia hasara walizopata watu wote walioathiriwa na mafuriko.
-
Rais Rouhani: Uamuzi wa Donald Trump kuhusu miinuko ya Golan ni wa kikoloni
Mar 27, 2019 02:41Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiisamu ya Iran amesema kuwa, uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani ya kuitambua miinuko ya Golan ya Syria kuwa ni mali ya utawala haramu wa Israel ni wa kikoloni.
-
Rais Rouhani ataka kushughulikiwa haraka hali ya waathiriwa wa mafuriko Iran
Mar 26, 2019 15:10Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kusisitiza kushughulikiwa haraka hali ya wananchi waliokumbwa na janga la mafuriko katika maeneo mbalimbali hapa nchini amesema kuwa, asasi zote zinapaswa kufanya juhudi maradufu kwa ajili ya kuhakikisha wananchi hao wanafikiwa na misaada haraka iwezekanavyo.
-
Kutokana na kuendelea kunyesha mvua nchini Iran, Rais Rouhani amewataka wakuu wa mikoa kuwa katika hali ya tahadhari
Mar 25, 2019 13:35Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa amri kwa wakuu wote wa mikoa humu nchini kuwa katika hali ya tahadhari kutokana na mvua kuendelea kunyesha katika maeneo tofauti ya Iran.
-
Rais Rouhani katika ujumbe wa Nowruz mwaka 1398: Taifa la Iran kwa yakini litapata ushindi
Mar 21, 2019 03:53Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema Alhamisi ametuma ujumbe kwa kunasaba wa kuanza mwaka mpya wa 1398 Hijria Shamsiya na kusema mwaka 1397 ulikuwa mwaka wa mafanikio makubwa ya taifa la Iran katika nyuga mbali mbali na kuongeza kuwa, kwa yakini taifa la Iran litapata ushindi na litavuka matatizo yaliyopo.
-
Rouhani: Iran inataka kupanua uhusiano na nchi zote jirani
Mar 18, 2019 01:17Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Tehran ina hamu ya kuwa na uhusiano mzuri na majirani zake na kuongeza kuwa, matatatizo yaliyopo na baadhi ya nchi yameanzisha nchi hizo zenyewe.
-
Rouhani: Nchi za Magharibi hazikuhusika katika kungamizwa magaidi katika eneo
Mar 12, 2019 16:45Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Watu wote wanajua kuwa, madola ya Magharibi hayajahusika hata kidogo katika jitihada za kuangamizwa magaidi katika eneo la Asia Magharibi na walirusha ndege na helikopta zao angani kimaonyesho tu.
-
Rais Rouhani: Usalama na utulivu wa Iraq ni kwa faida ya eneo lote la Magharibi ya Asia
Mar 11, 2019 16:55Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, usalama na uthabiti wa Iraq ni kwa faida ya eneo zima la Magharibui ya Asia na akasisitiza kwamba, nchi mbili hizi zinakabiliwa na magumu mengi kutokana na ugaidi.