Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rais wa Iran: Wakimbizi Waislamu Warohingya werejeshwe haraka nchini Myanmar

    Rais wa Iran: Wakimbizi Waislamu Warohingya werejeshwe haraka nchini Myanmar

    Mar 10, 2019 01:18

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza udharura wa kuwepo utulivu na amani nchini Myanmar na kusema kuwa wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya wanapaswa kurejeshwa haraka na kwa amani katika makazi yao nchini Myanmar.

  • Rouhani: Kuwa na uhusiano mwema na nchi za Afrika kuna umuhimu sana kwa Iran

    Rouhani: Kuwa na uhusiano mwema na nchi za Afrika kuna umuhimu sana kwa Iran

    Mar 09, 2019 15:26

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kuwa na uhusiano na nchi za Afrika kuna umuhimu mkubwa sana kwa Iran na kwamba Tehran inafanya jitihada za kustawisha zaidi uhusiano wake na nchi za bara hilo.

  • Rais Rouhani: Akthari ya mataifa ya dunia yanapinga vikwazo vya Marekani

    Rais Rouhani: Akthari ya mataifa ya dunia yanapinga vikwazo vya Marekani

    Mar 07, 2019 14:44

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hii leo ukiondoa nchi chache zenye fikra mgando katika eneo la Mashariki ya Kati pamoja na utawala haramu wa Israel, hakuna nchi nyingine inayounga mkono vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran na hata waitifaki wa Magharibi wa Washington nao wanaamini kuwa, tangu awali uamuzi wa kutekeleza vikwazo hivyo haukuwa sahihi.

  • Iran na Iraq zakaribia kufungua ukurasa mpya wa ushirikiano

    Iran na Iraq zakaribia kufungua ukurasa mpya wa ushirikiano

    Mar 07, 2019 11:04

    Spika wa bunge la Iraq katika ziara yake hapa Tehran ameonana na kufanya mazungumzo na maafisa wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kujadili kuimarisha ushirikiano kati ya pande mbili.

  • Rais Hassan Rouhani: Taifa la Iran litaendelea na njia ya izza na utukufu wake

    Rais Hassan Rouhani: Taifa la Iran litaendelea na njia ya izza na utukufu wake

    Mar 06, 2019 14:24

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kutaja njama kadhaa zilizofeli za maadui mbele ya muqawama wa taifa la Iran, amesema kuwa, taifa hili litaendelea na njia yake ya izza na utukufu.

  • Zarif arejea Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran baada ya Rais Rouhani kukataa ombi lake la kujiuzulu

    Zarif arejea Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran baada ya Rais Rouhani kukataa ombi lake la kujiuzulu

    Feb 27, 2019 16:38

    Mohammad Javad Zarif Khonsari, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amerejea kuongoza wizara hiyo baada ya ombi lake la kujiuzulu kukataliwa na Rais Hassan Rouhani.

  • Wabunge wa Iran wakusanya sahihi kumsihi Zarif asijiuzulu

    Wabunge wa Iran wakusanya sahihi kumsihi Zarif asijiuzulu

    Feb 27, 2019 08:00

    Wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) wameanza kukusanya sahihi kwa shabaha ya kumuomba Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran aghairi msimamo wake wa kujiuzulu.

  • Rouhani: Kwa azma, taifa la Iran litaweza kuvuka vikwazo

    Rouhani: Kwa azma, taifa la Iran litaweza kuvuka vikwazo

    Feb 26, 2019 14:43

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema watu wa Iran kwa irada, wanaweza kuvishinda vikwazo na kuvuka matatizo yote yaliyopo.

  • Rouhani: Iran itasaidia kuijenga upya Syria na kuirejeshea utulivu

    Rouhani: Iran itasaidia kuijenga upya Syria na kuirejeshea utulivu

    Feb 26, 2019 07:49

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kushiriki katika utekelezaji wa mipango itakayoainishwa na serikali ya Syria katika kuijenga upya nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Rouhani: Hatua ya Marekani ya kuzishinikiza Benki na mashirika yasishirikiane na Iran ni ya kigaidi

    Rouhani: Hatua ya Marekani ya kuzishinikiza Benki na mashirika yasishirikiane na Iran ni ya kigaidi

    Feb 20, 2019 14:59

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hatua ya serikali ya Marekani ya kuzitisha na kuzishinikiza Benki na mashirika yasishirikiane na Iran ni ya kigaidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS