-
Rais Rouhani: Iran itasonga mbele na ustawi wake licha ya vikwazo vyote inavyokabiliwa navyo
Feb 19, 2019 00:26Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa la Iran limo katika njia ya kujitosheleza na kuongeza kwamba, licha ya kuandamwa na vikwazo vyote hivi, lakini taifa la Iran litasonga mbele katika njia yake ya ustawi na maendeleo.
-
Rouhani: Waislamu wanapaswa kuwa na umoja na mshikamano
Nov 29, -0001 20:34Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewahimzia Waislamu wote kuwa na umoja na mshikamano na kuwa na uhusiano wa kidugu na kirafiki kwa ajili ya kulinda usalama na amani yao.
-
Rouhani: Magaidi hawapaswi kuachiwa wajihisi wako salama katika kona yoyote ya dunia
Feb 15, 2019 04:34Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, lengo la pamoja la nchi za Iran, Russia na Uturuki katika kupambana vilivyo na ugaidi ni kurejesha usalama na utulivu nchini Syria na kuongeza kuwa, magaidi hawapaswi kuhisi wako salama katika kona yoyote ile ya dunia.
-
Rais Rouhani: Marekani na Uzayuni ndio chanzo kikuu cha ugaidi katika eneo
Feb 14, 2019 12:08Rais Hassan Rouhani amesema: Chanzo kikuu cha ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati ni Marekani na Uzayuni; na kwa masikitiko, baadhi ya nchi za eneo zenye utajiri wa mafuta nazo pia zinawafadhili kifedha magaidi.
-
Rais Rouhani: Njama za Marekani hazina taathira yoyote kwa azma ya wananchi wa Iran
Feb 14, 2019 04:46Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, njama za madola makubwa hususan Marekani, katu haziwezi kuwa na taathira yoyote kwa irada na azma thabiti ya wananchi wa Iran.
-
Rais Rouhani: Njama za Marekani hazina taathira yoyote kwa azma ya wananchi wa Iran
Feb 13, 2019 11:25Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, njama za madola makubwa hususan Marekani, katu haziwezi kuwa na taathira yoyote kwa irada na azma thabiti ya wananchi wa Iran.
-
Rais Rouhani: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitaomba ruhusa kwa mtu yeyote ya kuunda zana za ulinzi + Picha
Feb 11, 2019 10:54Rais Hassan Rouhani amesema: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haiombi na wala haitaomba ruhusa kwa mtu yeyote ya kuunda aina mbali mbali za makombora na zana za ulinzi; na itaendelea kufuata njia yake kwa nguvu na uwezo kamili.
-
Mfalme wa Oman atuma ujumbe wa pongezi kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 10, 2019 23:18Mfalme wa Oman Qaboos bin Said amemtumia ujumbe wa pongezi Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Rais Rouhani: Mahesabu ghalati ndio sababu ya kushindwa Marekani mkabala wa taifa la Iran
Feb 06, 2019 23:51Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa mahesabu yasiyo sahihi ya Marekani ndio sababu ya kushindwa endelevu kwa nchi hiyo mbele ya taifa la Iran kipindi cha kabla na baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini.
-
Rouhani: Maandamano ya Wairani tarehe 22 Bahman yatajibu njama za maadui
Feb 06, 2019 11:56Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa mahudhurio makubwa ya wananchi wa Iran katika maandamano ya tarehe 22 Bahman (11 Februari) yatatoa jibu kali kwa njama zote za maadui.