Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rais Rouhani: Zama za Marekani kuitawala Iran haziwezi kurejea

    Rais Rouhani: Zama za Marekani kuitawala Iran haziwezi kurejea

    Feb 06, 2019 03:14

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kulaani misimamo ya uhasama ya Marekani kwa Iran tangu ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu miaka 40 iliyopita, amesema zama za Washington kuishurutisha na kuitawala Iran zimekwisha na katu haziwezi kurejea.

  • Rais Rouhani asisitiza kustawishwa uhusiano wa Iran na nchi za Kiafrika

    Rais Rouhani asisitiza kustawishwa uhusiano wa Iran na nchi za Kiafrika

    Feb 03, 2019 01:30

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kustawishwa uhusiano na kuweko ushirikiano wa karibu baina ya Tehran na nchi za Kiafrika zikiwemo Tunisia, Sierra Leone na Mali ni jambo la dharura.

  • Rais Rouhani: Wananchi wa Venezuela watasambaratisha njama mpya za Marekani

    Rais Rouhani: Wananchi wa Venezuela watasambaratisha njama mpya za Marekani

    Feb 02, 2019 14:43

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wananchi wa Venezuela watasambaratisha njama mpya za Marekani kwa kudumisha umoja na kusimama kidete pamoja na serikali.

  • Rouhani: Mapinduzi ya Kiislamu yaliyashinda madola ya kibeberu kwa kusimama kidete wananchi

    Rouhani: Mapinduzi ya Kiislamu yaliyashinda madola ya kibeberu kwa kusimama kidete wananchi

    Jan 30, 2019 14:43

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa hayati Imam Ruhullah Khomeini ni mhuishaji mkubwa zaidi wa dini katika zama za sasa na ndiye mhandisi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ambayo yalipata ushindi dhidi ya madola ya kibeberu kutokana na kusimama kidete kwa wananchi.

  • Rais Rouhani: Marekani inatiwa kiwewe na ustawi na maendeleo ya Iran

    Rais Rouhani: Marekani inatiwa kiwewe na ustawi na maendeleo ya Iran

    Jan 16, 2019 15:31

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Wamarekani wameamua kuliwekea taifa la Iran vikwazo vikubwa mno kwa sababu wana kiwewe na maendeleo, ustawi na uwezo wa taifa hili la Kiislamu.

  • Rais Rouhani: Iran haiogopi vikwazo

    Rais Rouhani: Iran haiogopi vikwazo

    Jan 15, 2019 13:58

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Iran haiogopi vikwazo na wala haitalegeza msimamo kuhusu malengo yake."

  • Rais Hassan Rouhani: Urushwaji wa satalaiti ya operesheni ya Iran kwenda anga za mbali utafanyika hivi karibuni

    Rais Hassan Rouhani: Urushwaji wa satalaiti ya operesheni ya Iran kwenda anga za mbali utafanyika hivi karibuni

    Jan 14, 2019 13:26

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa satalaiti ya Payam (ujumbe) na ambayo ni satalaiti ya kwanza ya operesheni itarushwa umbali wa kilomita 600 angani katika siku za hivi karibuni.

  • Rais Rouhani: Tunajifakharisha kwa makombora yetu ya kiulinzi na kielimu

    Rais Rouhani: Tunajifakharisha kwa makombora yetu ya kiulinzi na kielimu

    Jan 10, 2019 16:03

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, makombora leo hii ni zana ya kujilinda Iran na taifa letu leo hii linajivunia na linaona fakhari kubwa kuwa na nguvu za kiulinzi za makombora.

  • Rais Rouhani: Wamarekani hawathubutu kujitokeza hadharani mbele ya wananchi wa mataifa ya eneo

    Rais Rouhani: Wamarekani hawathubutu kujitokeza hadharani mbele ya wananchi wa mataifa ya eneo

    Jan 02, 2019 15:17

    Rais Hassan Rouhani ameashiria safari ya siri aliyofanya rais Donald Trump wa Marekani nchini Iraq na kueleza kwamba: Wamarekani hawathubutu kujitokeza hadharani mbele ya wananchi wa Iraq, Syria, Lebanon na Yemen.

  • Rais wa Iran: Umoja wa Wapalestina ni njia pekee ya kuishinda Israel

    Rais wa Iran: Umoja wa Wapalestina ni njia pekee ya kuishinda Israel

    Jan 02, 2019 07:33

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema njia pekee ya taifa madhulumu la Palestina kupata tena haki zake ni kuwa na umoja katika mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS