Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rais Rouhani: Marekani itagonga mwamba katika lengo lake la kuipigisha magoti Iran

    Rais Rouhani: Marekani itagonga mwamba katika lengo lake la kuipigisha magoti Iran

    Dec 25, 2018 14:50

    Rais Hassan Rouhani amesema: Lengo kuu la Marekani ni kuupigisha magoti mfumo wenye nguvu kubwa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, hata hivyo itashindwa katika lengo lake hilo.

  • Rais Rouhani aomboleza kifo cha Ayatullah Shahroudi

    Rais Rouhani aomboleza kifo cha Ayatullah Shahroudi

    Dec 25, 2018 08:08

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za rambirambi kufuata kuaga dunia Ayatullah Sayyid Mahmoud Hashemi Shahroudi, mwenyekiti wa Baraza la Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu na mkuu wa zamani vya Vyombo vya Mahakama Iran.

  • Salamu za Rais wa Iran kwa munasaba wa uzawa wa Nabii Isa AS

    Salamu za Rais wa Iran kwa munasaba wa uzawa wa Nabii Isa AS

    Dec 25, 2018 06:27

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo ametuma salamu kwa viongozi wa nchi za Wakristo na Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani kwa mnasaba wa sherehe zao za kumbukumbu ya kuzaliwa Nabi Isa AS na mwaka mpya 2019 Miladia.

  • Rais Rouhani: Vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Iran, ni hatua ya kigaidi kwa asilimia mia moja

    Rais Rouhani: Vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Iran, ni hatua ya kigaidi kwa asilimia mia moja

    Dec 20, 2018 15:46

    Rais Hassan Rouhani amesema: Hatua ilizochukua Marekani dhidi ya Iran ni za kigaidi kwa asilimia mia moja, kwa sababu nchi hiyo inazitisha nchi nyingine zisitekeleze azimio nambari 2231, zisifanye biashara huru wala kutekeleza matakwa ya wananchi wao, mashirika na wadau wa kiuchumi.

  • Rouhani: Iran inaendelea kuuza mafuta yake duniani hata baada ya vikwazo vya Marekani

    Rouhani: Iran inaendelea kuuza mafuta yake duniani hata baada ya vikwazo vya Marekani

    Dec 11, 2018 15:57

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uuzaji mafuta ghafi ya petroli ya Iran katika soko la dunia unaendelea hata baada ya kuanza kutekelezwa awamu ya pili ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ambavyo vilianza Novemba Nne.

  • Rouhani: Madola ya kibeberu ndiyo yaliyounda makundi ya kigaidi duniani

    Rouhani: Madola ya kibeberu ndiyo yaliyounda makundi ya kigaidi duniani

    Dec 09, 2018 03:35

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema madola ya kibeberu ndiyo yaliyounda na kuyafadhili kwa hali na mali makundi ya kigaidi duniani, na kwamba irada thabiti na jitihada za pamoja zinahitajika ili kulitokomeza jinamizi hilo linalotishia usalama wa dunia.

  • Rouhani: Iran ndiyo mhanga mkubwa zaidi wa ugaidi duniani

    Rouhani: Iran ndiyo mhanga mkubwa zaidi wa ugaidi duniani

    Dec 08, 2018 09:43

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mashambulizi ya kigaidi hayawezi kuzima azma kubwa ya Jamhuri ya Kiislamu ya kupambana kwa nguvu zote na ugaidi.

  • Rais Rouhani asisitiza: Iran haitafanya mazungumzo kuhusu uwezo wake wa makombora

    Rais Rouhani asisitiza: Iran haitafanya mazungumzo kuhusu uwezo wake wa makombora

    Dec 06, 2018 10:09

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezihutubu nchi za Ulaya akisema Iran katu haitafanya mazungumzo kuhusu uwezo wake wa kujihami.

  • Rais Rouhani: Maadui hawawezi kustahamili izza na nguvu za Iran

    Rais Rouhani: Maadui hawawezi kustahamili izza na nguvu za Iran

    Dec 05, 2018 16:31

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema kuwa, maadui wa taifa hili hawana chaguo jingine isipokuwa kusalimu amri na kuheshimu izza, uwezo na umoja wa wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu.

  • Rouhani: Marekani haiwezi kukata uhusiano wa Iran na nchi za dunia

    Rouhani: Marekani haiwezi kukata uhusiano wa Iran na nchi za dunia

    Dec 04, 2018 14:46

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani haina uwezo wa kukata uhusiano wa Iran na nchi mbalimbali duniani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS