Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Pompeo atiwa kiwewe na nafasi ya Iran ya kuwaunganisha Waislamu

    Pompeo atiwa kiwewe na nafasi ya Iran ya kuwaunganisha Waislamu

    Nov 27, 2018 07:47

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ameonesha kughadhabishwa na matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwamba taifa hili linanyoosha mkono wa udugu kwa Waislamu wote duniani.

  • Rais Rouhani: Iran inanyoosha mkono wa udugu kwa Waislamu wote

    Rais Rouhani: Iran inanyoosha mkono wa udugu kwa Waislamu wote

    Nov 26, 2018 04:34

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Iran inanyoosha mkono wa udugu kwa Waislamu wote duniani.

  • Rais Rouhani: Iran ndiye mpinzani mkuu wa silaha za mauaji ya umati na ugaidi + Video

    Rais Rouhani: Iran ndiye mpinzani mkuu wa silaha za mauaji ya umati na ugaidi + Video

    Nov 21, 2018 16:07

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran ndiyo inayoweza kudai kuwa ni mpinzani mkuu wa ugaidi na silaha za kemikali hasa kutokana na kwamba, taifa la Iran ndiye muhanga mkuu zaidi wa ugaidi na mashambulizi ya silaha hizo hatari.

  • Rais Rouhani: Iran haitasalimu amri mbele ya Marekani

    Rais Rouhani: Iran haitasalimu amri mbele ya Marekani

    Nov 19, 2018 15:55

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili litabakia kuwa huru na lenye mamlaka yake na katu halitasalimu amri mbele ya Marekani.

  • Rais Rouhani: Wananchi wa Iran wamezishinda njama za Marekani kwa kusimama kidete

    Rais Rouhani: Wananchi wa Iran wamezishinda njama za Marekani kwa kusimama kidete

    Nov 10, 2018 14:41

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wananchi wa Iran wameishinda mipango na njama za Marekani kwa kusimama kwao kidete.

  • Rais Rouhani apongeza kushiriki wananchi katika hamasa ya tarehe 13 Aban

    Rais Rouhani apongeza kushiriki wananchi katika hamasa ya tarehe 13 Aban

    Nov 05, 2018 07:17

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kufanyika Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Uistikbari kunadhihisha namna wananchi walivyofungamana na walivyo na shauku na Mapinduzi ya Kiislamu na malengo yake.

  • Rouhani: Nchi za Ulaya zikabiliane na Marekani kwa kushirikiana na Iran

    Rouhani: Nchi za Ulaya zikabiliane na Marekani kwa kushirikiana na Iran

    Nov 02, 2018 06:08

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa sera za Marekani zimehatarisha uthabiti katika uga wa kimataifa na hivyo ametoa wito kwa nchi za Ulaya kushirikiana na Iran katika kukabiliana na maamuzi ya upande moja ya watawala wa Washington.

  • Rais Rouhani: Iran itaipigisha magoti Marekani

    Rais Rouhani: Iran itaipigisha magoti Marekani

    Oct 27, 2018 15:42

    Rais Hassan Rouhani amesema kuhusu njama zinazofanywa na Marekani dhidi ya Iran, kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itachukua hatua makini ambazo zitaipigisha magoti Marekani.

  • Rouhani: Saudia haiwezi kufanya jinai kubwa kama ya kumuua Khashoggi bila ya uungaji mkono wa Marekani

    Rouhani: Saudia haiwezi kufanya jinai kubwa kama ya kumuua Khashoggi bila ya uungaji mkono wa Marekani

    Oct 24, 2018 17:02

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani mauaji ya mwandishi na mkosoaji wa utawala wa kifalme wa Saudi Arabia, Jamal Khashoggi na kusema kuwa, misimamo ya nchi mbalimbali duniani dhidi ya mauaji hayo ni mtihani mkubwa kwa nchi zinazodai kutetea haki za binadamu hususan Marekani na nchi za Ulaya.

  • Rais Rouhani: Uwezo wa kiuchumi wa Iran na Afrika Kusini unaweza kunufaisha kila upande

    Rais Rouhani: Uwezo wa kiuchumi wa Iran na Afrika Kusini unaweza kunufaisha kila upande

    Oct 17, 2018 04:18

    Rais Hassan Rouhani amesema Iran na Afrika Kusini zina uwezo na fursa nzuri sana ambazo zinaweza kutoa mchango kamilishi kwa uchumi wa nchi mbili.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS