Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rais Rouhani: Marekani haitadumu kwa muda mrefu katika siasa zake dhidi ya Iran

    Rais Rouhani: Marekani haitadumu kwa muda mrefu katika siasa zake dhidi ya Iran

    Oct 15, 2018 23:36

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kwa mipango makini iliyoandaliwa, Marekani haitaweza kudumu kwa muda mrefu katika sera na siasa zake zilizo dhidi ya Iran.

  • Rais Rouhani: Marekani ndiyo iliyoshindwa kwa kukiuka makubaliano ya kimataifa

    Rais Rouhani: Marekani ndiyo iliyoshindwa kwa kukiuka makubaliano ya kimataifa

    Oct 14, 2018 12:48

    Rais Hassan Rouhani amesema: Kwa mtazamo wa kisheria na kisiasa, Marekani ndiyo iliyoshindwa kwa kukiuka makubaliano ya kimataifa.

  • Rais Rouhani ayashukuru majeshi ya Iran kwa jibu kali kwa magaidi + Video

    Rais Rouhani ayashukuru majeshi ya Iran kwa jibu kali kwa magaidi + Video

    Oct 03, 2018 23:12

    Rais Hassan Rouhani amevishukuru vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa majibu makali na ya kina dhidi ya viongozi wa magaidi waliohusika katika shambulizi la kigaidi la Ahvaz, kusini magharibi mwa Iran na kusisitiza kuwa: Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu limetoa majibu makali kabisa kwa magaidi ambao waliwashambulia bila huruma wanawake na watoto wadogo nchini Iran.

  • Rais Rouhani: Walimwengu wamebainikiwa na ukweli wa Iran na ubabe wa Marekani

    Rais Rouhani: Walimwengu wamebainikiwa na ukweli wa Iran na ubabe wa Marekani

    Sep 27, 2018 12:39

    Rais Hassan Rouhani amesema, misimamo ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imebainishwa kwa uwazi kabisa katika kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kueleza kwamba Marekani haikupata mafanikio yoyote katika kikao hicho.

  • Rais Rouhani afanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Uingereza; asema mkakati wa  Iran ni kupunguza mivutano ulimwenguni

    Rais Rouhani afanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Uingereza; asema mkakati wa Iran ni kupunguza mivutano ulimwenguni

    Sep 26, 2018 04:50

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa mkakati wa Iran ni kupunguza mivutano katika eneo la Mashariki ya Kati na ulimwenguni kwa ujumla suala linalopasa kuzingatiwa na pande zote.

  • Rais Hassan Rouhani ahutubia Baraza Kuu la UN, asema siasa mbovu za Marekani dhidi ya Iran zitafeli tu

    Rais Hassan Rouhani ahutubia Baraza Kuu la UN, asema siasa mbovu za Marekani dhidi ya Iran zitafeli tu

    Sep 26, 2018 02:16

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya lran amehutubia mkutano wa 73 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York, Marekani ambapo sambamba na kubainisha kuwa, mapatano ya JCPOA yalipatikana kwa juhudi za kidiplomasia za zaidi ya muongo mmoja na mazungumzo mazito kwa ajili ya kuondoa mgogoro wa kubuniwa, amesema kuwa, Marekani ilienda kinyume na misingi na sheria za kimataifa kwa kujiondoa katika mapatano hayo yaliyoidhinishwa na Baraza la Usalama la umoja huo.

  • Rais Rouhani: Ni mustahili kuizuia Iran kuuza mafuta yake

    Rais Rouhani: Ni mustahili kuizuia Iran kuuza mafuta yake

    Sep 24, 2018 23:32

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amegusia njama za Marekani za kujaribu kuizuia Iran isiuze mafuta yake na kusisitiza kuwa, shabaha ya Wamarekani ya kuizuia Iran kuuza mafuta yake si tu ni jambo mustahili na lisilowezekana, lakini hata ni hatari sana.

  • Rais Rouhani awasili New York kushiriki mkutano wa UN

    Rais Rouhani awasili New York kushiriki mkutano wa UN

    Sep 24, 2018 03:58

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili New York nchini Marekani kwa ajili ya kuhudhuria kutano wa 73 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.

  • Rouhani: Iran inawafahamu wahusika wa shambulio la Ahvaz, itawafuatilia

    Rouhani: Iran inawafahamu wahusika wa shambulio la Ahvaz, itawafuatilia

    Sep 23, 2018 04:27

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili linawafahamu wahusika wa shambulio la jana la kigaidi mjini Ahvaz, na lina haki ya kuwafuatilia na kuwawajibisha.

  • Rouhani: Taifa la Iran kwa mara nyingine litawakatisha tamaa maadui

    Rouhani: Taifa la Iran kwa mara nyingine litawakatisha tamaa maadui

    Sep 22, 2018 03:40

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa la Iran, sawa na miaka ya huko nyuma litakatisha tamaa na kumvunja moyo adui na kuongeza kuwa: Leo hakuna tena vita vya niaba bali Marekani imeingia katika medani kupambana moja kwa moja na taifa la Iran na inavunja ahadi zake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS