-
Rais Rouhani: Hivi sasa Marekani iko katika hali mbaya sana duniani
Sep 12, 2018 09:31Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kubainisha kwamba ukiachilia nchi na tawala chache zinazojulikana katika eneo la Mashariki ya Kati ambazo ziko pamoja na Washington, Marekani iko katika hali mbaya zaidi duniani.
-
Rais Rouhani: Iran haina adui yeyote zaidi ya Marekani, Israel na vibaraka wao
Sep 08, 2018 03:45Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kubainisha kwamba, hii leo Iran haina adui mwengine yeyote isipokuwa Marekani, utawala wa Kizayuni na vibaraka wao, amesisitiza kwamba, taifa la Iran litawashinda maadui kwa mshikamano na umoja.
-
Kuulizwa Rais wa Iran maswali bungeni ni kielelezo cha demokrasia katika mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu
Aug 29, 2018 03:10Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, jana Jumanne alifika katika Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, kujibu maswali ya wabunge. Kwa mujibu wa kipingee cha 88 cha Katiba ya Iran; kumuuliza maswali rais wa nchi ni moja ya majukumu ya wabunge.
-
Rais Rouhani: Maadui wanafuatilia vita vya kisaikolojia na kiuchumi dhidi ya Iran
Aug 28, 2018 23:28Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema maadui wa Mapinduzi ya Kiislamu wanafuatilia vita vya kisaikolojia na kiuchumi dhidi ya mfumo na watu wa Iran.
-
Rais Rouhani: Uwajibikaji ni nukta ya nguvu ya wakuu wa mfumo wa Kiislamu wa Iran
Aug 28, 2018 09:24Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uwajibikaji ni nukta ya nguvu ya wakuu wa mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rouhani: Wanachama wa JCPOA wanapaswa kutekeleza haraka mipango yao ya kulinda makubaliano hayo
Aug 27, 2018 10:21Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Ufaransa na kusema kuwa, kwa kutilia maanani hatua ya Marekani ya kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, nchi nyingine wanachama katika mapatano hayo zinapaswa kutekeleza mipango yao haraka na kwa uwazi kwa ajili ya kulinda makubaliano hayo.
-
Rais Rouhani: Taifa la Iran litaangamiza njama za maadui kwa umoja, mshikamano na istiqama
Aug 25, 2018 02:29Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa la Iran litaangamiza njama za Marekani na Wazayuni kwa umoja, mshikamano na istiqama au kusimama kidete.
-
Waislamu wa pembe mbalimbali za dunia leo wanasherehekea sikukuu ya Eid al-Adh'ha
Aug 22, 2018 00:07Waislamu wa maeneo mbalimbali ulimwenguni leo wanasherehekea sikukuu ya Eidul al-Adh'ha huku viongozi wa nchi mbalimbali za Kiislamu wakitumiana salamu za mkono wa idi.
-
Rais Rouhani: Iran haiiamini Marekani hata kidogo
Aug 21, 2018 10:51Rais Hassan Rouhani amesema Iran haiiamini Marekani hata kidogo na kwamba nchi za Ulaya, China na Canada, nazo pia hazina imani tena na nchi hiyo.
-
Rouhani: Adui ataingia nayo kaburini ndoto yake ya kuishinda Iran
Aug 15, 2018 10:34Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, shabaha ya vikwazo vya adui dhidi ya Iran ni kuwaweka katika matatizo wananchi wa taifa hili na kusisitiza kuwa, adui kamwe haiwezi kuishinda Iran bali njozi na ndoto yake hiyo atakwenda nayo kaburini.