-
Rouhani na Putin wabadilishana mawazo kuhusu masuala ya kikanda na kimataifa
Aug 12, 2018 09:07Marais wa Iran na Russia wamejadili na kubadilishana mawazo kuhusu masuala ya pande mbili, ya kikanda na kimataifa katika mazungumzo yao yaliyofanyika leo kandokando ya mkutano wa 5 wa viongozi wa nchi za pwani mwa Bahari ya Kaspi unaofanyika nchini Kazakshtan.
-
Rais Rouhani: Marekani haina muamana, haiheshimu ahadi yake yoyote
Aug 08, 2018 10:12Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hatua ya upande mmoja ya Marekani ya kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kusema kuwa, utendaji wa serikali ya Washington katika kipindi hiki chote ulikuwa kwa namna ambayo hii leo, Marekani inatambulika kama nchi isiyo na muamana na isiyotekeleza ahadi yakke yoyote.
-
Rouhani: Umoja wa Wairani ni jibu imara kwa matamshi ya kipuuzi ya viongozi wa Marekani
Jul 25, 2018 08:59Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vitisho hewa na visivyo na msingi vya baadhi ya viongozi wa Marekani havistahili kujibiwa na kueleza kuwa: Kutotetereka, kuwa na umoja na kutojali vitisho na njama za Marekani na kufanya juhudi za kuzisambaratisha njama za maadui, ndiyo jibu lenye nguvu zaidi la taifa la Iran kwa matamshi ya kipuuzi ya watawala wa Marekani.
-
Kulegeza kamba White House kuhusiana na bwabwaja za Donald Trump dhidi ya Iran
Jul 24, 2018 20:49Katika kipindi cha uongozi wa Rais Donald Trump, Marekani imeshadidisha misimamo na hatua zilizo dhidi ya Iran.
-
Rais Rouhani: Trump usicheze na mkia wa simba, jibu la Iran litakuwa kali
Jul 22, 2018 10:06Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, sambamba na kubainisha kwamba, Iran sio nchi ya uchokozi na inafuatilia udiplomasia, amesisitiza kwamba, nchi hii haina ugomvi na yeyote, lakini maadui wanatakiwa kufahamu kwamba kufanya vita na Iran ni kuingia katika vita kubwa na kufanya amani na Iran ni kufanya amani kubwa.
-
Kiongozi Muadhamu: Serikali ina uwezo wa kukwamisha njama za Marekani
Jul 15, 2018 09:27Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, serikali ya taifa hili endapo itachukua hatua za lazima itaweza kuyapatia ufumbuzi matatizo na kusambaratisha njama za Marekani.
-
Rouhani: Nchi nyingi za dunia zimetangaza kutofuata sheria za ndani za Marekani
Jul 14, 2018 09:13Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kuwa, serikali ya Tehran imekuwa na mazungumzo mazuri na nchi mbalimbali za Ulaya, China, Russia, nchi jirani na mataifa muhimu ya Asia na akthari ya nchi hizo zimetangaza kwamba, hazifuati sheria za ndani za Marekani.
-
Rais Rouhani amtumia ujumbe mwenzake wa Uganda, Yoweri Museveni
Jul 12, 2018 10:31Mjumbe maalumu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemkabidhi Rais Yoweri Museveni wa Uganda ujumbe wa maandishi kutoka kwa mwenzake wa Iran.
-
Marekani yalegeza msimamo wa vikwazo dhidi ya Iran baada ya kuonywa
Jul 11, 2018 08:51Marekani imelegeza msimamo wake mkali wa kuiwekea Iran vikwazo na kuzuia mafuta ghafi ya petroli ya nchi hii kuuzwa katika soko la kimataifa ifikapo Novemba 4.
-
Kifurushi 'cha kukatisha tamaa' cha Ulaya; kuendelea JCPOA kutategemea kikao cha Vienna
Jul 06, 2018 09:24Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumza kwa njia ya simu na Angela Merkel, Kansela wa Ujerumani na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa na kuwafahamisha kwamba kifurushi cha kiuchumi cha Umoja wa Ulaya kilichowasilishwa kwa Iran ni cha 'kukatisha tamaa'.