-
Rais Rouhani: JCPOA ni makubaliano muhimu mno kwa Iran, Umoja wa Ulaya na ulimwengu
Jul 04, 2018 09:21Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni makubaliano muhimu mno kwa Iran, Umoja wa Ulaya na ulimwengu kwa ujumla.
-
Rais Hassan Rouhani: Kamwe taifa la Iran halitosalimu amri mbele ya mashinikizo ya kigeni
Jul 03, 2018 03:00Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kamwe taifa la Iran halitosalimu amri mbele ya mashinikizo ya kigeni.
-
Safari ya Rais Rouhani Uswisi na Austria kwa malengo muhimu ya uhusiano wa pande mbili na kimatiafa
Jul 03, 2018 02:49Rais Hassan Rouani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatatu alianza safari ya kuzitembelea Uswisi na Austria kufuatia mwaliko wa viongozi wa wa nchi hizo mbili za Ulaya. Rais Rouhani anaongoza ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa na kiuchumi katika safari hiyo
-
Rais Rouhani wa Iran amtumia salamu Rais Kabila wa DRC
Jul 01, 2018 09:25Rais Hassan Rouhani wa Iran amemtumia salamu za pongezi Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa munasaba wa maadhimisho ya siku ya uhuru wa nchi hiyo.
-
Rais Rouhani: Wanaolitakia mabaya taifa la Iran muda si mrefu watasailimu amri
Jun 28, 2018 09:06Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, kuna haja ya kukabiliana na vitisho vya adui na kuvibadilisha kuwa fursa, kwani wanaolitakia mabaya taifa hili muda si mrefu watasalimu amri.
-
Rouhani: Taifa la Iran litaipiga mweleka Marekani katika mapambano ya kusimama kidete
Jun 27, 2018 23:48Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana jioni alisisitiza kuwa taifa la Iran kamwe haliwezi kuwapigia magoti wavamizi na mabeberu na kuongeza kuwa, Wairani wataishinda Marekani katika mapambano ya maamuzi na ya kusimama kidete.
-
Rouhani: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imevuka njama za adui
Jun 26, 2018 10:16Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia njama zinazofanywa na Marekani dhidi ya Iran tangu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini na kkusema kuwa, taifa na mfumo wa Iran umevuka njama za adui katika vipindi mbalimbali kutokana na kuwa macho na makini.
-
Rouhani: Wairani hawawezi kupigishwa magoti na njama za Marekani
Jun 21, 2018 09:43Rais Hassan Rouhani amesema katu taifa la Iran haliwezi kupigishwa magoti na njama na mashinikizo ya dola la kibeberu la Marekani.
-
Rais Rouhani: Iran itaendelea kuwa pamoja na Qatar
Jun 18, 2018 10:55Rais Hassan Rouhani amekaribisha kustawishwa uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Qatar na kusisitiza kuwa hakuna kizuizi chochote cha kuzuia kustawishwa uhusiano huo na kwamba Tehran itaendelea kuwa pamoja na Doha.
-
Rouhani: Dunia isimame kidete kukabiliana na ubabe wa Marekani
Jun 15, 2018 11:18Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, leo inapasa kuwepo ushirikiano wa watu na nchi zote duniani, washirika wa kibiashara wa Iran, Ulaya, Russia, China na mataifa jirani katika kukabiliana na watawala wa Marekani wanaotumia mabavu na kujifanya wababe.