Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rais Rouhani awatumia Waislamu mkono wa Idi

    Rais Rouhani awatumia Waislamu mkono wa Idi

    Jun 14, 2018 11:25

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia mkono wa Idi viongozi wa nchi za Kiislamu na Waislamu wote kwa mnasaba wa kukaribia kuingia katika sikukuu ya Idul Fitr.

  • Rouhani: Iran itajiondoa JCPOA iwapo haitadhaminiwa maslahi yake

    Rouhani: Iran itajiondoa JCPOA iwapo haitadhaminiwa maslahi yake

    Jun 13, 2018 02:45

    Rais Hassan Rouhani amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itajiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA iwapo itahisi haistafidi wala kupata maslahi yoyote kutokana na mapatano hayo ya kimataifa.

  • Rais Rouhani: Iran na China zimeazimia kuendeleza ushirikiano wa kistratejia katika nyuga zote

    Rais Rouhani: Iran na China zimeazimia kuendeleza ushirikiano wa kistratejia katika nyuga zote

    Jun 10, 2018 22:12

    Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na China wameeleza azma ya serikali zao ya kustawisha ushirikiano wao na kusisitiza juu ya kuendeleza ushirikiano wao wa pamoja wa kistratejia katika nyuga zote.

  • Rais Rouhani: Iran iko tayari kupanua ushirikiano wa kiuchumi kieneo na kimataifa

    Rais Rouhani: Iran iko tayari kupanua ushirikiano wa kiuchumi kieneo na kimataifa

    Jun 10, 2018 03:31

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran ni mshirika huru na wa kuaminika na iko tayari kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi kieneo na kimataifa.

  • Rouhani: Ushirikiano wa Iran na Russia dhidi ya ugaidi utaendelea

    Rouhani: Ushirikiano wa Iran na Russia dhidi ya ugaidi utaendelea

    Jun 09, 2018 12:41

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kuna umuhimu mkubwa wa kuimarishwa zaidi ushirikiano wa Tehran na Moscow katika masuala ya usalama na ustawi.

  • Rais Rouhani: Kukombolewa Quds ni tarajio takatifu la taifa la Iran na Waislamu wote

    Rais Rouhani: Kukombolewa Quds ni tarajio takatifu la taifa la Iran na Waislamu wote

    Jun 07, 2018 11:06

    Rais Hassan Rouhani amesema: Siku ya Quds ni siku ya kihistoria ya kupaza mayowe dhidi ya madhalimu na kulihami taifa linalodhulumiwa ambalo kwa muda wote wa miaka 70, watu wake wamehamishwa kidhulma kwenye nyumba na makazi yao.

  • Rais Rouhani: Hatua zilizochukuliwa hadi sasa ni chanya kwa ajili ya kuendeleza JCPOA

    Rais Rouhani: Hatua zilizochukuliwa hadi sasa ni chanya kwa ajili ya kuendeleza JCPOA

    May 27, 2018 03:12

    Rais Hassan Rouhani amesema, baada ya Marekani kujitoa kwenye makubaliano ya JCPOA waliowengi katika jamii ya kimataifa wameipa haki Iran na kuyatetea makubaliano hayo na kuongeza kwamba hatua zilizochukuliwa hadi sasa ni nzuri kwa ajili ya kuendeleza makubaliano hayo ya nyuklia.

  • Rais Rouhani: Tukijilegeza mbele ya mabeberu hatutofika popote

    Rais Rouhani: Tukijilegeza mbele ya mabeberu hatutofika popote

    May 24, 2018 23:50

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, heshima, utukufu, staha na hadhi ndiyo mambo muhimu zaidi kwa taifa kabla ya jambo lolote na kuongeza kuwa, hata kama tutakuwa na taifa tajiri lenye watu wengi lakini tukawa dhalili mbele ya dola fulani la kibeberu, basi hatutoweza kufika popote.

  • Rouhani: Taifa la Iran halitishwi na vitisho hewa vya Marekani

    Rouhani: Taifa la Iran halitishwi na vitisho hewa vya Marekani

    May 23, 2018 03:03

    Rais Hassan Rouhani amekosoa vikali vitisho vipya vilivyotolewa na Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu na kusisitiza kuwa taifa kubwa la Iran halitishwi wala kubabaishwa na vitisho hewa vya utawala wa Donald Trump.

  • Rouhani: Marekani haiwezi kuiamulia dunia nzima

    Rouhani: Marekani haiwezi kuiamulia dunia nzima

    May 21, 2018 23:43

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani haiwezi kuchukua mamuzi kuhusu Iran na nchi zingine huru na zenye kujitegemea duniani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS