-
Rais Rouhani: Marekani haiwezi kukabiliana na taifa imara la Iran
May 21, 2018 03:41Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kwamba kamwe Marekani haitoweza kulipigisha magoti taifa imara la Iran.
-
Rouhani: Njama za Marekani za kuitenga Iran na dunia zimefeli
May 20, 2018 02:56Rais Hassan Rouhani amesema njama za Marekani za kuitenga Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na dunia zimegonga mwamba licha ya jitihada kubwa za Washington za kufanikisha azma hiyo.
-
Rais wa Iran ataka dunia isusie Israel, iangalie upya uhusiano na Marekani
May 18, 2018 23:33Rais Hassan Rouhani wa Iran ametoa wito kwa nchi za Kiislamu na mataifa mengine duniani kukata uhusiano wao kikamilifu na utawala haramu wa Israel na kuangalia upya uhusiano na Marekani kama njia ya kujibu sera hasimu za tawala hizo mbili dhidi ya watu wa Palestina.
-
Rouhani: Nchi za Kiislamu zinapasa kutoa jibu kali kwa ukatili na jinai za utawala wa Kizayuni
May 17, 2018 09:46Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa nchi za Kiislamu zinapasa kutoa jibu kali katika kikao cha dharura cha Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) huko Istanbul kwa udhalimu na jinai zinazofanywa na Wazayuni dhidi ya wananchi madhlumu wa Palestina.
-
Rais Rouhani: Nchi za Kiislamu zikabiliane na hatua zilizo dhidi ya ubinadamu za Marekani na Israel
May 17, 2018 03:35Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mauaji dhidi ya wananchi wa Palestina yaliyofanywa na utawala haramu wa Israel ni maafa makubwa.
-
Rais wa Iran: Michezo ya kisiasa haiwezi kuitenganisha Quds na Waislamu
May 16, 2018 09:36Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Mji wa Quds au Baitul Muqaddas (Jerusalem) ambako ndiko uliko Msikiti wa Al Aqsa ni mji unaoheshimiwa na Waislamu wote na hivyo ardhi hiyo takatibu haiwezi kuteganishwa na Waislami zaidi ya bilioni moja na nusu duniani kwa mchezo wa kisiasa.
-
Rais Rouhani: Mashirika ya Iran yako tayari kutoa huduma za ufundi na uhandisi kwa Sri Lanka
May 13, 2018 11:17Rais Hassan Rouhani amesema Iran iko tayari kupanua uhusiano na ushirikiano wa pande zote na Sri Lanka.
-
Rais Rouhani: Iran imeazimia kuimarisha uhusiano na majirani zake ikiwemo Turkmenistan
May 12, 2018 23:22Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Tehran imeazimia kwa dhati kuimarisha ushirikiano wake na majirani wote katika nyanja zote ikiwemo Turkmenistan ambayo ni nchi rafiki na ndugu.
-
Rouhani: Kujitoa Marekani katika makubaliano ya JCPOA kunadhihirisha namna Washington isivyoheshimu makubaliano ya kimataifa
May 08, 2018 23:16Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema baada ya Marekani kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa kati ya Iran na kundi la 5+1 yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) kuwa Marekani haikuwa ikiheshimu kivyovyote ahadi na majukumu yake na kwamba kujiondoa kwake katika makubaliano hayo ni jambo lililotarajiwa.
-
Rais Rouhani: Iran itasimama kidete kupambana na njama za Marekani za kukwamisha mchango wake
May 07, 2018 20:57Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran itasimama kidete kukabiliana na njama za Marekani za kukwamisha nafasi yake muhimu katika eneo la Mashariki ya Kati.