-
Rais Rouhani: JCPOA ni dhihirisho la nguvu za kidiplomasia za taifa kubwa la Iran
May 06, 2018 12:25Rais Hassan Rouhani amesema: Makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ambao ni mkataba wa kimataifa na dhihirisho la nguvu za kidiplomasia za taifa kubwa la Iran hauwezi kufanyiwa mabadiliko yoyote.
-
Rouhani: Wananchi wa Iran wako pamoja dhidi ya Trump na utawala wa Kizayuni
May 06, 2018 03:27Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa wananchi wa Iran wako pamoja dhidi ya Rais wa Marekani na utawala wa Kizayuni na kutilia mkazo kuwa wananchi wa Iran hawapendi vita, lakini wanajilinda na kujitetea kwa dhati.
-
Rais Rouhani: Njama kubwa za maadui ni kulikatisha tamaa taifa la Iran + Video
Apr 29, 2018 11:07Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, njama kubwa zinazoendeshwa na maadui wa taifa hili hivi sasa ni kujaribu kuwavunja moyo na kuwakatisha tamaa wananchi wa Iran.
-
Rais Rouhani aonya kuhusu taathira hasi iwapo JCPOA itakiukwa
Apr 24, 2018 12:04Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameionya Marekani dhidi ya kukiuka makubaliano ya nyuklia ya Vienna na kusisitiza kuwa, endapo Washington itajiondoa kwenye mapatano hayo ya kimataifa kama inavyotishia, basi hatua hiyo itakuwa na matokeo mabaya.
-
Rouhani: Iran na Uturuki zitaendelea kushirikiana ili kuzima taharuki Syria
Apr 18, 2018 03:00Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mashambulizi ya hivi karibuni ya kijeshi yaliyofanywa na Marekani, Uingereza na Ufaransa dhidi ya Syria yameacha mfano wenye sura ya kutisha kwenye uhusiano wa kimataifa, na kusisitiza kwamba Iran na Uturuki zitaendelea kuwa na ushirikiano wa karibu kwa lengo la kuzuia kushtadi taharuki katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Rouhani: Mashambulizi ya Marekani dhidi ya Syria ni uungaji mkono wa ugaidi
Apr 14, 2018 12:57Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa mashambulizi yaliyofanywa na Marekani, Uingereza na Ufaransa dhidi ya Iran ni hatua iliyochukuliwa kuimarisha ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Rouhani: Kubaathiwa Mtume wa Uislamu SAW, ni tukio kubwa zaidi katika historia
Apr 11, 2018 03:04Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za pongezi kwa munasaba wa mwaka mpya wa Hijria Shamsia na Idi za Mwezi wa wa Rajab na kusema tukio la Kubaathiwa Mtume Mtukufu wa Uislamu SAW ni tukio kubwa zaidi lenye taathira katika historia na ni neema muhimu zaidi ya Mwenyezi Mungu kwa jamii ya wanadamu.
-
Rais Rouhani: Juhudi za Iran, Russia na Uturuki zimeleta mafanikio makubwa kwa Syria
Apr 04, 2018 21:07Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, juhudi za pande tatu za Iran, Uturuki na Russia zimepelekea Syria kupata mafanikkio makubwa katika vita dhidi ya magaidi na kwamba, kuna haja ya juhudi hizo kuendelezwa hadi pale wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu watakapoweza kuishi katika mazingira tulivu na ya amani kamili.
-
Marais wa Iran, Uturuki na Russia: Mikutano ya Astana imesaidia kupunguza machafuko ya Syria
Apr 04, 2018 10:30Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Uturuki na Russia wametoa taarifa yao ya pamoja ambayo imeashiria mikutano ya Astana nchini Kazakhstan na kusema kuwa, ubunifu huo wa kimataifa ulikuwa na taathira kubwa katika kupunguza machafuko katika maeneo mbalimbali ya Syria na kuwa na nafasi pia katika kurejesha amani na utulivu wa nchini humo.
-
Rouhani: Uhusiano mwema na majirani pamoja na dunia ni sera ya msingi ya Iran
Apr 03, 2018 09:21Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uhusiano mwema na nchi jirani na dunia kwa ujumla ni kati ya sera za msingi za Iran.