Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rais wa Iran leo anaelekea Turkmenistan na Jamhuri ya Azerbaijan

    Rais wa Iran leo anaelekea Turkmenistan na Jamhuri ya Azerbaijan

    Mar 25, 2018 23:54

    Rais Hassan Rouhani wa Iran leo anaanza safari ya siku mbili ya kuzitembelea nchi jirani za Turkmenistan na Jamhuri ya Azerbaijan kwa lengo la kujadiliana na viongozi wa nchi hizo uhusiano wa pande mbili na matukio ya hivi karibuni ya kieneo.

  • Rais Rouhani: Umoja wa taifa la Iran umewashangaza maadui

    Rais Rouhani: Umoja wa taifa la Iran umewashangaza maadui

    Mar 21, 2018 01:03

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa ujumbe wa mwaka mpya wa 1397 Hijria Shamsia akisema kuwa, mwaka uliomalizika wa 1396 ulikuwa mwaka wa mafanikio na ushindi wa taifa kubwa la Iran katika nyanja mbalimbali licha ya njama zote za wanaoitakia mabaya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Rais Rouhani: 1396 hijria shamsia ulikuwa mwaka wa mafanikio kwa Iran na wa kushindwa maadui wa taifa hili

    Rais Rouhani: 1396 hijria shamsia ulikuwa mwaka wa mafanikio kwa Iran na wa kushindwa maadui wa taifa hili

    Mar 18, 2018 23:46

    Rais Hassan Rouhani amesema maadui wa taifa la Iran walishindwa vibaya katika mwaka unaomalizika wa 1396 hijria shamsia.

  • Rouhani: Tehran na Ankara zina majukumu mazito ya kuwaokoa watu wa Syria

    Rouhani: Tehran na Ankara zina majukumu mazito ya kuwaokoa watu wa Syria

    Mar 08, 2018 04:50

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Tehran na Ankara zina majukumu mazito ya kuwaokoa raia wa Syria hususan katika eneo la Ghouta Mashariki na kusisitiza kuwa, Kuna udharura wa kufanyika jitihada za kuzuia maafa ya kibinadamu katika eneo hilo.

  • Rouhani: Pande zote zitajuta iwapo makubaliano ya nyuklia ya Iran yatavunjika

    Rouhani: Pande zote zitajuta iwapo makubaliano ya nyuklia ya Iran yatavunjika

    Mar 05, 2018 23:26

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema pande zote husika zitajuta iwapo makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yatasambaratika, katika hali ambayo Marekani inafanya jitihada za kuyafelisha mapatano hayo na kutoa vitisho vya kujiondoa kwenye makubaliano hayo kila mara.

  • Rouhani: Marekani imekuwa ikivuruga utekelezwaji mapatano ya nyuklia

    Rouhani: Marekani imekuwa ikivuruga utekelezwaji mapatano ya nyuklia

    Mar 05, 2018 02:25

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Iran inafungamana na ahadi zake katika mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, JCPOA,' lakini la kusikitisha ni kuwa Marekani daima imekuwa ikiweka vizingiti katika utekelezwaji wa mapatano haya ya kimataifa."

  • Rouhani: Iran haitafanya mazungumzo na yeyote kuhusu uwezo wake wa kujihami

    Rouhani: Iran haitafanya mazungumzo na yeyote kuhusu uwezo wake wa kujihami

    Feb 28, 2018 13:05

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran haitaomba ruhusa kwa yeyote kwa ajili ya kutengeneza makombora na zana zake za kujilinda wala haitafanya mazungumzo na yeyote kuhusu suala hilo.

  • Rais Rouhani wa Iran ampongeza Ramaphosa, Rais mpya wa Afrika Kusini

    Rais Rouhani wa Iran ampongeza Ramaphosa, Rais mpya wa Afrika Kusini

    Feb 26, 2018 10:42

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia salamu za pongezi Cyril Ramaphosa kufuatia kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa Afrika Kusini.

  • Rais Rouhani: Iran inaongoza Mashariki ya Kati kwa kuwa na utawala wenye ridhaa ya wananchi

    Rais Rouhani: Iran inaongoza Mashariki ya Kati kwa kuwa na utawala wenye ridhaa ya wananchi

    Feb 24, 2018 10:36

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa la Iran linaongoza Mashariki ya Kati kwa kuunda ustaarabu, kulea tamaduni na kuwa na utawala wenye kuzingatia nafasi ya wananchi.

  • Rais Rouhani aitaka Saudia ihitimishe mauaji yake dhidi ya raia wa Yemen

    Rais Rouhani aitaka Saudia ihitimishe mauaji yake dhidi ya raia wa Yemen

    Feb 21, 2018 11:52

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaka Saudi Arabia na washirika wake waache mchezo wao wa kuilaumu na kuituhumu Iran kuhusiana na mgogoro wa Yemen na badala yake wahitimishe mauaji wanayoyafanya dhidi ya raia wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS