Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rais Rouhani: Uhusiano wa Iran na India hauna madhara kwa nchi yoyote

    Rais Rouhani: Uhusiano wa Iran na India hauna madhara kwa nchi yoyote

    Feb 17, 2018 14:22

    Rais Hassan Rouhani amesema uhusiano wa Iran na India hauna madhara kwa nchi yoyote na kubainisha kuwa kuna fursa nyingi za kustawisha na kuimarisha uhusiano wa pande mbili ambazo zinapasa kutumiwa zaidi kwa ajili ya manufaa na mustakabali bora wa mataifa hayo mawili na eneo kwa ujumla.

  • Rais Rouhani asisitiza umuhimu wa umoja wa Waislamu dhidi ya maadui

    Rais Rouhani asisitiza umuhimu wa umoja wa Waislamu dhidi ya maadui

    Feb 16, 2018 10:25

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya umuhimu wa umoja na mshikamano miongoni mwa Waislamu kote duniani, mbele ya utawala wa Kizayuni wa Israel na maadui wengine wa Uislamu na Waislamu.

  • Rais Rouhani asisitiza umuhimu wa umoja wa Waislamu dhidi ya maadui

    Rais Rouhani asisitiza umuhimu wa umoja wa Waislamu dhidi ya maadui

    Feb 16, 2018 10:24

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya umuhimu wa umoja na mshikamano miongoni mwa Waislamu kote duniani, mbele ya utawala wa Kizayuni wa Israel na maadui wengine wa Uislamu na Waislamu.

  • Rouhani: Ulimwengu una imani kamili na Iran, Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu

    Rouhani: Ulimwengu una imani kamili na Iran, Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu

    Feb 13, 2018 13:18

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Ulimwengu una imani kamili na Iran, Mapinduzi na Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu."

  • Rais Rouhani: Mataifa ya Mashariki ya Kati yameokoka na shari ya magaidi kwa msaada wa Iran

    Rais Rouhani: Mataifa ya Mashariki ya Kati yameokoka na shari ya magaidi kwa msaada wa Iran

    Feb 11, 2018 12:21

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mwaka uliopita ulikuwa mwaka wa ushindi kwa taifa la Iran dhidi ya magaidi na ulikuwa mwaka wa mafanikio makubwa kwa wananchi wa eneo la Mashariki ya Kati.

  • Rouhani: Ujumbe wa Mapinduzi ya Kiislamu ni kujitawala na uhusiano wa kiadilifu na dunia

    Rouhani: Ujumbe wa Mapinduzi ya Kiislamu ni kujitawala na uhusiano wa kiadilifu na dunia

    Feb 10, 2018 13:12

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ujumbe wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini ni kujitawala, kutoziruhusu nchi nyingine kuingilia mambo ya ndani ya Iran na kuwa na uhusiano wa kiadilifu ya nchi zote duniani.

  • Rais Rouhani: Kuimarisha uhusiano na Uturuki ni msingi muhimu wa siasa za kieneo za Iran

    Rais Rouhani: Kuimarisha uhusiano na Uturuki ni msingi muhimu wa siasa za kieneo za Iran

    Feb 08, 2018 00:56

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuimarisha uhusiano wa kirafiki na majirani hususan Uturuki ni msingi muhimu katika siasa za kigeni na za kieneo za Tehran.

  • Domokaya na makelele ya Trump hayawezi kubadilisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Domokaya na makelele ya Trump hayawezi kubadilisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Feb 08, 2018 00:25

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amebainisha misimamo ya Tehran kuhusiana na matukio ya kieneo na kimataifa katika mkutano wake na waandishi wa habari wa ndani na wa nje na kusema kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kwamba, katu hakutoongezwa au kupunguzwa chochote katika makubaliano hayo.

  • Rais Rouhani: Taifa la Iran limetoa majibu ya busara kwa njama za madola ya kibeberu

    Rais Rouhani: Taifa la Iran limetoa majibu ya busara kwa njama za madola ya kibeberu

    Feb 07, 2018 11:32

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, njama zote ambazo hadi sasa zimepangwa na kutekelezwa dhidi ya taifa la Iran zimegonga mwamba na kutofua dafu.

  • Rouhani: Iran itakabiliana ipasavyo na Marekani

    Rouhani: Iran itakabiliana ipasavyo na Marekani

    Feb 06, 2018 23:53

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, iwapo Washington itaiwekea mashinikizo Tehran, Jamhuri ya Kiislamu itakabiliana ipasavyo na Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS