-
Rouhani: Iran inapinga uwepo wa vikosi vya kigeni Syria bila idhini ya nchi hiyo
Feb 06, 2018 10:39Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Iran inapinga uwepo wa vikosi vya kigeni katika ardhi ya Syria pasina kuwepo idhini ya serikali na watu wa nchi hiyo.
-
Rais Rouhani: Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ulikuwa muujiza wa kihistoria na kisiasa
Feb 05, 2018 13:14Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ushindi wa Mapinduzi ya Kiisamu ya Iran yaliyotokea 1979 ulikuwa muujiza wa kihistoria na kisiasa.
-
Rouhani: Taifa la Iran haliwezi kusahau uvamizi wa Marekani katika eneo
Feb 01, 2018 10:29Katika kile kinachoonekana ni radiamali kwa matamshi ya kinafiki ya hivi karibuni ya Rais Donald Trump wa Marekani, Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katu taifa hili haliwezi kusahau vitendo vya kivamizi vya Marekani katika eneo hili la Mashariki ya Kati.
-
Rais Rouhani ahudhuria khitma ya waliopoteza maisha katika ajali ya meli ya mafuta
Jan 21, 2018 11:14Rais Hassan Rouhani leo ameshiriki katika khitma ya waliopoteza maisha katika ajali ya meli ya mafuta ya Iran MV, Sanchi iliyoteketea na kuzama baada ya ajali wiki iliyopita katika Bahari ya China Mashariki.
-
Rouhani: Wazayuni wananufaika na hitilafu na migawanyiko ndani ya Lebanon
Jan 17, 2018 23:04Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria namna serikali na wananchi wa Lebanon walivyoweza kuvuka njama za maadui za kuzusha mgawanyiko kati yao na kueleza kuwa Wazayuni ndio wanaonufaika na hitilafu na migawanyiko ya Lebanon.
-
Iran yalaani vikali mpango wa Marekani kutuma wanajeshi Syria
Jan 17, 2018 00:49Rais Hassan Rouhani wa Iran amelaani vikali hatua ya Marekani kutuma askari wake nchini Syria na kusmea: "Mpango wa Marekani ni kinyume cha sheria za kimataifa na ni njama dhidi ya usalama na mamlaka ya kujitawala ardhi yote ya Syria na eneo."
-
Rais wa Iran alaani matamshi ya Rais wa Marekani dhidi ya watu wa Afrika
Jan 16, 2018 11:03Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali maneno ya matusi ambayo Rais Donald Trump wa Marekani aliyatumia dhidi ya mataifa ya Afrika.
-
Rais Rouhani: Nchi za Kiislamu zisiwe tegemezi kwa madola ya kigeni
Jan 16, 2018 05:19Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mapema leo katika mkutano wa 13 wa Umoja wa Mabunge ya Nchi za Kiislamu wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) unaofanyika mjini Tehran kwamba njia ya kukabiliana na changamoto za Ulimwengu wa Kiislamu ni kutoyategemea madola ya kigeni.
-
Rais Rouhani: Marekani imezidi kujidhalilisha kwa kukataa kuheshimu JCPOA
Jan 14, 2018 12:27Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Marekani imefeli kimataifa na katika uingiliaji wake wa masuala ya ndani ya Iran.
-
Rais Rouhani: Umoja wa Wairani dhidi ya wafanya fujo, ushindi mwingine mbele ya maadui wa Jamhuri ya Kiislamu
Jan 10, 2018 01:09Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kujitokeza kwa wingi sana wananchi welewa, umoja ulioonesha na mirengo yote nchini pamoja na watu wa kaumu na madhehebu yote kukabiliana na wafanya fujo, ni ushindi mwingine kwa Iran katika kukabiliana na maadui wa Jamhuri ya Kiislamu.