Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rouhani na Erdogan walaani msimamo wa US, Israel dhidi ya Iran

    Rouhani na Erdogan walaani msimamo wa US, Israel dhidi ya Iran

    Jan 03, 2018 23:05

    Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki wamekosoa vikali uchochezi na uungaji mkono wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa waandamanaji wanaofanya fujo na ghasia nchini.

  • Rais Rouhani: Maadui wamekasirishwa na maendeleo ya Iran

    Rais Rouhani: Maadui wamekasirishwa na maendeleo ya Iran

    Jan 01, 2018 12:43

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa mafanikio ya taifa la Iran katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kisiasa na kikanda yamewatia hasira na kuwaghadhibisha maadui.

  • Rais Rouhani: Marekani haina haki ya kujifanya ina uchungu na taifa la Iran

    Rais Rouhani: Marekani haina haki ya kujifanya ina uchungu na taifa la Iran

    Jan 01, 2018 01:04

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, rais wa Marekani ambaye miezi kadhaa iliyopita aliwatuhumu watu wa taifa la Iran kuwa ni magaidi, hana haki ya kujifanya ni mwenye uchungu na nchi hii.

  • Rais wa Iran atuma salamu za pongezi kwa mnasaba wa kuadhimisha kuzaliwa Nabii Isa AS

    Rais wa Iran atuma salamu za pongezi kwa mnasaba wa kuadhimisha kuzaliwa Nabii Isa AS

    Dec 24, 2017 23:53

    Rais Hassan Rouhani amemtumia salamu viongozi wa mataifa ya dunia na kuwapa mkono wa pongezi kwa mnasaba wa kuadhimisha kuzaliwa mtume wa rehma na saada Nabii Isa Masih AS na vilevile kwa kukaribia kuanza mwaka mpya wa 2018 miladia.

  • Rais Rouhani: Marekani haiwezi kubatilisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA

    Rais Rouhani: Marekani haiwezi kubatilisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA

    Dec 19, 2017 10:39

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema tokea yaanze kutekelezwa mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, JCPOA, Marekani imetaka mara kadhaa mapatano hayo yabatilishwa lakini haiwezi kufanikiwa katika hilo.

  • Rais Rouhani: Waislamu wakabiliane na uamuzi wa Trump kuhusu Quds

    Rais Rouhani: Waislamu wakabiliane na uamuzi wa Trump kuhusu Quds

    Dec 13, 2017 13:00

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mapendekezo 8 kwa ulimwengu wa Kiislamu kwa ajili ya kukabiliana na uamuzi usio sahihi na kinyume cha sheria uliochukuliwa na Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu Quds tukufu na kusema kuwa: Marekani inafuatilia maslahi ya Wazayuni na haiheshimu matakwa halali ya Wapalestina.

  • Rouhani: Uamuzi wa Trump dhidi ya Quds ni sehemu ya njama za Wazayuni, Wamarekani dhidi ya Ulimwengu wa Kiislamu

    Rouhani: Uamuzi wa Trump dhidi ya Quds ni sehemu ya njama za Wazayuni, Wamarekani dhidi ya Ulimwengu wa Kiislamu

    Dec 12, 2017 13:13

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaja kuwa wa kijuba na ulio kinyume cha sheria uamuzi wa Rais wa Marekani kuhamisha ubalozi wa nchi hiyo kutoka Tel Aviv hadi Quds Tukufu na kuongeza kuwa: "Mpango huu ni sehemu ya njama za Wazayuni na Wamarekani dhidi ya Ulimwengu wa Kiislamu."

  • Rouhani: Mataifa ya Kiislamu yatazima njama ya Marekani na Israel

    Rouhani: Mataifa ya Kiislamu yatazima njama ya Marekani na Israel

    Dec 11, 2017 23:30

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema umoja, muqawama na mapambano ya Wapalestina na nchi nyingine za Kiislamu bila shaka yatapelekea kusambaratika kwa njama ya Marekani na utawala wa Kizayuni ya kuitambua Quds tukufu kuwa 'mji mkuu' wa utawala haramu wa Israel.

  • Rais wa Iran: Uamuzi usio sahihi wa Trump ni sawa na kumwagia petroli kwenye moto

    Rais wa Iran: Uamuzi usio sahihi wa Trump ni sawa na kumwagia petroli kwenye moto

    Dec 10, 2017 13:05

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uamuzi wa hivi karibuni wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuitangaza Beitul-Muqaddas kuwa mji mkuu wa Israel na kutoa amri ya kuhamishiwa ubalozi wa Washington katika mji huo ulikuwa sawa na kumwagia mafuta ya petroli katika moto katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Si muhali Iran kuwa na uhusiano mzuri na Saudia ikiacha mauaji Yemen, kukata uhusiano na Israel

    Si muhali Iran kuwa na uhusiano mzuri na Saudia ikiacha mauaji Yemen, kukata uhusiano na Israel

    Dec 10, 2017 04:29

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili litaacha kuwa na msuguano na Saudi Arabia iwapo Riyadh itaacha kuwashambuliwa kwa mabomu wananchi wasio na hatia wa Yemen sambamba na kukata uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS