-
Witkoff: Amani haiwezi kupatikana Ukraine bila ridhaa ya Putin
May 14, 2025 02:44Steve Witkoff, Mjumbe maalumu wa Rais wa Marekani, Donald Trump amesema utatuzi wa amani wa mzozo wa Ukraine hauwezekani bila idhini na ridhaa ya Rais wa Russia, Vladimir Putin.
-
Putin apendekeza mazungumzo ya moja kwa moja na Ukraine kwa ajili ya 'amani ya kudumu'
May 12, 2025 02:01Rais Vladimir Putin wa Russia ametoa wito akitaka kuanza tena mazungumzo ya moja kwa moja bila masharti kati ya nchi yake na Ukraine mjini Istanbul, Mei 15, ili kufikia makubaliano ya amani ya kudumu.
-
Putin: Tunatumai hatutalazimika kutumia silaha za nyuklia Ukraine
May 05, 2025 02:22Rais wa Russia, Vladimir Putin amesema kufikia sasa, udharura wa kutumia silaha za nyuklia nchini Ukraine haujajitokeza, na kwamba anatumai hautatokea.
-
Kremlin: Russia inaweza kutoa msaada wa kijeshi kwa Korea Kaskazini 'ikiwa italazimu'
Apr 29, 2025 06:50Ikulu ya Russia, Kremlin imesema nchi hiyo inaweza kutoa msaada wa kijeshi kwa Korea Kaskazini chini ya makubaliano ya ushirikiano wa kimkakati yaliyotiwa saini kati ya nchi hizo mbili mwishoni mwa mwaka jana.
-
Putin aishukuru Korea Kaskazini kwa msaada wake wa kijeshi
Apr 28, 2025 07:58Rais wa Russia, Vladimir Putin ametoa shukrani zake za dhati kwa wanajeshi wa Korea Kaskazini na kiongozi wa nchi hiyo, Kim Jong-un, kwa msaada na uungaji mkono wao katika operesheni ya kuzima uvamizi wa Ukraine.
-
Zelensky: Kombora lililoua raia 12 Kiev lilikuwa na vifaa vilivyotengezwa na makampuni ya silaha ya Marekani
Apr 27, 2025 02:33Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amedai kuwa vifaa vilivyotengenezwa na makampuni ya Marekani vilipatikana kwenye kombora lililotumiwa kushambulia mji mkuu wa nchi hiyo Kyiv mapema wiki hii na kuua watu 12.
-
Hatua mpya katika kuzidisha kiwango cha ushirikiano kati ya Iran na Russia
Apr 26, 2025 10:50Miamala ya kibiashara kati ya Iran na Russia inazidi kuongezeka katika nyanja mbalimbali za kiuchumi hususan katika sekta ya nishati na usafirishaji.
-
Kremlin: Umoja wa Ulaya unataka vita, sio mazungumzo
Apr 25, 2025 02:46Msemaji wa Ikulu ya Russia (Kremlin), Dmitry Peskov amesema Umoja wa Ulaya umekuwa ukizuia juhudi za kidiplomasia za Washington na Moscow kwa ajili ya kumaliza mzozo wa Ukraine, na badala yake unafanya jitihada za kurefusha uhasama na mzozo huo.
-
Baghaei: Russia ina mchango athirifu katika mazungumzo ya nyuklia kati ya Iran na Marekani
Apr 23, 2025 02:11Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Russia ina nafasi na mchango athirifu katika kushughulikia faili la nyuklia la Iran.
-
Onyo la Marekani kuhusu kurejea nyuma katika mazungumzo ya vita vya Ukraine
Apr 21, 2025 02:24Marco Rubio Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani ametangaza kuwa, Rais Donald Trump atajiondoa katika juhudi za kupatanisha makubaliano ya amani kati ya Russia na Ukraine ndani ya siku chache zijazo isipokuwa kama kutakuwa na dalili za wazi kwamba makubaliano yanaweza kufikiwa.