-
Kiongozi wa Russia: Jenerali Qassem Soleimani alikuwa shujaa wa ulimwengu wote wa Kiislamu
Jan 05, 2020 23:15Mkuu wa Taasisi ya Kimataifa inayoitwa 'Umma Mmoja wa Kiislamu' nchini Russia amesema kuwa, Meja Jenerali Qassem Soleimani, hakuwa tu mtu wa Iran, Iraq au Syria, bali ni shakhsia wa Kiislamu na ulimwengu kwa ujumla.
-
Ukosoaji wa Russia dhidi ya njama za Marekani za kubadili mlingano wa nguvu Asia Magharibi na kuongeza vitisho vya usalama kimataifa
Jan 05, 2020 09:51Hatua za Marekani katika eneo la Asia Magharibi hususan za kuzidisha uwepo wake kijeshi, mashinikizo dhidi ya Iran na hatimaye kutekeleza hatua za kigaidi hasa za kumuua shahidi Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la IRGC, Naibu Mkuu wa Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Shaabi, Abu Mahdi al Muhandes na shakhsia wengine walioambatana nao, zimekabiliwa na radiamali kali kutoka kwa Russia kama mmoja wa wacheza karata muhimu katika eneo hili.
-
Nchi Kadhaa Duniani zalaani mauaji ya Qassem Soleimani
Jan 03, 2020 23:10Nchi kadhaa duniani zimeilaani vikali Marekani kwa kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Sisitizo la Russia la kupata funzo Korea Kaskazini kupitia ukiukaji ahadi wa Marekani katika makubaliano ya JCPOA
Jan 03, 2020 02:33Katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump, Marekani imetanguliza mbele siasa za vitisho sambamba na mazungumzo mkabala na Korea Kaskazini.
-
Putin: Tunataraji vita vitamalizika mwakani 2020 nchini Syria
Dec 30, 2019 23:16Rais Vladimir Putin wa Russia amemtumia salamu rais mwenzake wa Syria na kusema kuwa, ana matumaini mwaka 2020 (unaoanza kesho Jumatano) utakuwa wa kumalizwa vita nchini Syria na kupatikana usalama na utulivu katika maeneo yote ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Ripoti: Idadi ya watu waliofariki dunia kwa Ebola DRC imefikia 2,231
Dec 30, 2019 03:59Idadi ya watu waliofariki dunia kwa maradhi ya Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeongezeka na kufikia 2,231.
-
Mazoezi ya kijeshi ya Iran, Russia na China yanaendelea kama ilivyopangwa
Dec 28, 2019 09:59Mazoezi makubwa ya majeshi ya pamoja ya majeshi ya majini ya Iran, Russia na China leo yameingia siku ya pili na yanaendelea kama ilivyopangwa.
-
Himaya ya Trump kwa magaidi na takwa la kusitishwa operesheni ya kuikomboa Idlib huko Syria
Dec 28, 2019 07:13Ushindi mtawalia wa jeshi la Syria na waitifaki wake umewafanya magaidi waondoke katika ngome yao ya mwisho yaani mkoa wa Idlib. Jeshi la Syria na waitifaki wake wameanzisha operesheni ya kijeshi kwa lengo la kuikomboa Idlib baada ya magaidi kukiuka makubaliano ya usitishaji vita. Hata hivyo nchi za Magharibi hususan Marekani zinataka kusimamishwa operesheni hiyo kwa visingizio vya masuala yanayohusiana na haki za binadamu.
-
Russia yazindua mfumo mpya wa kombora lenye kasi zaidi ya sauti la 'Avangard Hypersonic'
Dec 28, 2019 04:50Shirika la Habari la Itar-Tass la Russia limeripoti kwamba jana Ijumaa Sergey Shoygu, Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo alizindua mfumo wa kwanza wa makombora ulio na kasi kubwa kuliko sauti.
-
Mousavi: Wadau wote duniani wana mchango katika zama za baada ya Magharibi
Dec 28, 2019 00:36Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa: "Hivi sasa, sisi tunaishi katika dunia ya baada ya enzi za Magharibi, ambapo wadau wote duniani wana mchango katika mahusiano ya zama hizo."