-
Mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya Iran, China, Russia; kigezo chenye ufanisi cha kieneo kuhusu usalama
Dec 27, 2019 20:55Kufanyika mazoezi ya pamoja ya majeshi ya majini ya Iran, Russia na China katika eneo lenye umuhimu wa kistratijia la kaskazini mwa Bahari ya Hindi na Bahari ya Oman ni ushirikiano wa kieneo usiohusisha madola ajinabi.
-
Iran, Russia na China zaanza mazoezi ya pamoja ya kijeshi kaskazini mwa Bahari ya Hindi
Dec 27, 2019 06:21Mazoezi ya kijeshi ya baharini yanayoshirikisha majeshi ya majini ya nchi tatu za Iran, Russia na China yameanza leo Ijumaa kaskazini mwa Bahari ya Hindi kwa kaulimbiu ya "Amani, Urafiki na Usalama Endelevu Chini ya Kivuli cha Ushirikiano na Umoja".
-
Putin asisitiza ulazima wa kutatuliwa kwa amani mgogoro wa Libya
Dec 27, 2019 03:55Rais wa Russia amemhutubu na kumsisitizia Waziri Mkuu wa Italia kuwa mgogoro wa Libya unapasa kupatiwa ufumbuzi kwa njia ya amani.
-
Russia yamkosoa Guterres kwa kufumbia macho ukiukaji sheria unaofanywa na Marekani
Dec 26, 2019 22:54Kwa kuzingatia kuwa Marekani ndiko yaliko makao makuu ya Umoja wa Mataifa, nchi hiyo ya kibeberu daima imekuwa ikiwawekea vikwazo wanadiplomasia na maafisa wa ngazi za juu wa nchi zinazopinga siasa za Washington, wanaoazimia kusafiri nchini humo kwa ajili ya kutekeleza majukumu yao ya kikazi.
-
Maneva ya Iran, Russia na China; maneva ya pande tatu iliyo na ujumbe wa kimataifa
Dec 26, 2019 06:56Maneva ya kwanza ya baharini kati ya nchi tatu za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia na China itafanyika hivi karibuni kaskazini mwa Bahari ya Hindi na ya Oman kwa lengo la kuimarisha usalama wa biashara ya kimataifa katika eneo hilo.
-
Wananchi wa Ulaya waunga mkono kuboreshwa uhusiano wa nchi zao na Russia
Dec 25, 2019 21:40Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa na Taasisi ya Ifop ya Ufaransa unaonyesha kuwa raia wengi wa Ulaya wanataka kuboreshwa uhusiano wa nchi zao na Russia.
-
Mousavi: Iran haitawasahau marafiki wake katika kipindi kigumu
Dec 24, 2019 04:50Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kamwe haitawasahau marafiki zake wa kipindi kigumu.
-
Azimio dhidi ya Syria na kura ya Veto ya Russia na China ya kulipinga
Dec 22, 2019 23:10Ushindi mtawalia wa jeshi la Syria na washirika wake umepelekea kurejea nyuma makundi ya kigaidi kwenye ngome zao za mwisho yaani katika mkoa wa Idlib.
-
Iran na Russia zaonya kuhusu kuhamishiwa magaidi wa Daesh Afghanistan
Dec 18, 2019 23:02Maafisa wa ngazi za juu wa usalama wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia wameonya kuhusu njama za makusudi za kuwahamishia wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh nchini Afghanistan.
-
Russia: Vikwazo haviwezi kuchukua nafasi ya udiplomasia
Dec 12, 2019 04:19Mwakilishi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema haiwezekani kupatikana amani katika Rasi ya Korea kupitia njia ya vikwazo na mashinikizo na kwamba, vikwazo haviwezi kuchukua nafasi ya udiplomasia na njia ya utatuzi wa kisiasa.