-
Russia: Ulaya pia imechoshwa na siasa za ubeberu za Marekani
Oct 19, 2019 12:03Waziri Mkuu wa Russia, Dmitry Medvedev amesema kuwa, nchi za Ulaya pia zimechochwa na siasa za ubeberu za Marekani.
-
Bashar al Assad: Wanajeshi vamizi wamelikalia kwa mabavu eneo la kaskazini mwa Syria
Oct 18, 2019 23:09Rais wa Syria amesema kuwa wanajeshi vamizi wa nchi za kigeni wamelikalia kwa mabavu eneo la kaskazini mwa Syria na kusisitiza kuwa kuna ulazima wanajeshi hao kuondoka katika eneo hilo.
-
Russia yafanyia majaribio makombora ya kisasa ya nyuklia karibu na Marekani
Oct 18, 2019 04:10Rais Vladimir Putin wa Russia ameshuhudia majarbio ya makombora matano ya kisasa ya nyuklia katika eneo la Bahari ya Arctic nchini humo ambalo linapakana na Marekani.
-
Syria; ajenda kuu ya mazungumzo ya mjumbe wa Rais wa Russia mjini Tehran
Oct 17, 2019 06:55Mwakilishi maalumu wa Rais Vladimir Putin wa Russia amekuja hapa Tehran na kufanya mazungumzo na Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran na Mjumbe Maalumu wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kuhusu masuala ya Syria na wamejadiliana matukio ya hivi karibuni katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Sisitizo la Russia la kutatuliwa kisiasa hitilafu kati ya Uturuki na Syria
Oct 16, 2019 07:29Russia ikiwa moja ya nchi muhimu katika medani na matukio ya Syria imetangaza msimamo wake kuhusiana na mashambulio ya kijeshi ya Uturuki huko kaskazini mwa Syria.
-
Rais Putin apinga madai ya kuhusika Iran katika hujuma dhidi ya Aramco, Saudia
Oct 13, 2019 23:25Rais Vladimir Putin wa Russia amepinga kutuhumiwa Iran kuwa ilihusika katika shambulizi dhidi ya kituo kikubwa cha kusafisha mafuta cha Aramco nchini Saudi Arabia.
-
Kukosolewa ukwamishaji wa Marekani wa safari za wawakilishi wa nchi mbalimbali kuelekea Umoja wa Mataifa
Oct 10, 2019 03:02Kwa kuzingatia kuwa, makao makuu ya Umoja wa Mataifa yapo mjini New York, siku zote Marekani imekuwa ikilitumia suala la kutoa visa kwa jumbe na washiriki wa mikutano na vikao vya Umoja wa Mataifa kama wenzo wa kuzishinikiza nchi zinazoipinga na zisizokubaliana na siasa zake.
-
Uturuki na Russia zatupilia mbali sarafu ya dola katika biashara
Oct 10, 2019 00:49Uturuki na Russia zimetia saini mapatano ya kutupilia mbali sarafu ya dola katika mabadilishano ya kibiashara baina yao.
-
Vitisho vya Marekani vya kuwawekea vikwazo waitifaki wake iwapo watanunua silaha za Russia
Oct 04, 2019 05:33Mwenendo wa Marekani wa kuchukua hatua za upande mmoja na nchi hiyo kupanua ubeberu wake katika kipindi cha Rais Donald Trump, umeshika kasi zaidi na sasa umechukua sura mpya.
-
Hatua za uhasama za Marekani dhidi ya Venezuela na radiamali ya Russia
Oct 01, 2019 07:46Katika kipindi cha uongozi wa Rais Donald Trump, Marekani imejikita zaidi katika suala la kuipindua serikali ya mrengo wa kushoto nchini Venezuela na kumuondoa madarakani Rais wa nchi hiyo Nicolas Maduro na kisha kuiweka uongozini serikali ambayo ni mshirika wake kwa uongozi wa kinara wa upinzani Juan Guaido.