• Ukosoaji mkali wa Sergey Lavrov kuhusiana na miamala haribifu ya Marekani dhidi ya mapatano ya JCPO na Ghuba ya Uajemi

    Ukosoaji mkali wa Sergey Lavrov kuhusiana na miamala haribifu ya Marekani dhidi ya mapatano ya JCPO na Ghuba ya Uajemi

    Sep 29, 2019 23:06

    Hatua zilizo kinyume cha sheria za Marekani kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei mwaka jana na kisha kuiwekea Iran vikwazo vikali ambavyo vilikuwa havijawahi kushuhudiwa tena huko nyuma, na baada ya hapo kuzidisha uwepo wake wa kijeshi katika Ghuba ya Uajemi ambao umeshadidisha mizozo katika eneo hilo la kistratijia, ni mambo ambayo yameizidishia wasi wasi serikali ya Russia.

  • Trump akiri: Marekani inaingilia chaguzi zinazofanyika katika nchi nyingine

    Trump akiri: Marekani inaingilia chaguzi zinazofanyika katika nchi nyingine

    Sep 28, 2019 22:57

    Katika kipindi cha Vita Baridi (Cold War) na baada ya vita hivyo Marekani ilikuwa ikitekeleza sera za kuingilia masuala ya ndani ya nchi nyingine. Moja ya mambo muhimu yanayodhihirisha ukweli huo ni mienendo ya Marekani ya kuingilia chaguzi katika nchi mbalimbali kwa lengo la kuwaingiza madarakani viongozi vibaraka na wanaofuata siasa za Marekani.

  • Duru mpya ya hujuma za vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi zingine

    Duru mpya ya hujuma za vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi zingine

    Sep 28, 2019 04:29

    Marekani ina rekodi kubwa zaidi ya kutumia aina mbali mbali za vikwazo dhidi ya nchi zingine kwa ajili ya kufikia malengo ya siasa zake za nje. Ushadidishaji vikwazo unaofanywa na Washington katika kipindi cha urais wa Donald Trump umekuwa ukipingwa na kulaaniwa kimataifa. Pamoja na hayo kinachoendelea kushuhudiwa kila uchao ni kutangazwa vikwazo vingine vipya vya Marekani dhidi ya nchi zingine duniani.

  • Gazeti la Washington Post lachapisha ripoti yenye utata dhidi ya Rais Donald Trump

    Gazeti la Washington Post lachapisha ripoti yenye utata dhidi ya Rais Donald Trump

    Sep 28, 2019 04:20

    Gazeti la Washington Post la nchini Marekani limeripoti kwamba, Rais Donald Trump wa nchi hiyo aliwahi kuwaeleza viongozi wawili wa ngazi ya juu wa Russia kuwa, uingiliaji wa Moscow katika uchaguzi wa Marekani, halikuwa jambo la kutia wasi wasi kwa kuwa hata Washington nayo huwa inafanya hivyo katika nchi nyingine za dunia.

  • Raia wanane wa Russia wauawa nchini Libya

    Raia wanane wa Russia wauawa nchini Libya

    Sep 27, 2019 03:22

    Wanajeshi wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya wamesema kuwa, shambulio la anga lililofanywa na wanamgambo wa jenerali muasi Khalifa Haftar huko kusini mwa Tripoli, mji mkuu wa Libya, limeua raia wanane wa Russia.

  • Taasisi ya Russia yafichua maovu ya

    Taasisi ya Russia yafichua maovu ya "Kundi la Kofia Nyeupe nchini Syria"

    Sep 22, 2019 23:18

    Taasisi isiyo ya kiserikali ya Russia kwa jina la the Fund for Research of Problems of Democracy imefichua kuwa, lengo kuu la kundi la kigaidi la "Kofia Nyeupe" huko Syria ni kuchapisha taarifa na habari za uwongo na zisizo sahihi dhidi ya serikali ya nchi hiyo na kuhusu hali ya mambo nchini.

  • Russia: Marekani iache kuibua mizozo Asia Magharibi

    Russia: Marekani iache kuibua mizozo Asia Magharibi

    Sep 20, 2019 23:29

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, amekosoa hatua za Marekani za kuibua mizozo eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati.)

  • Russia yataka uchunguzi huru kuhusu shambulio la visima vya mafuta vya Saudia

    Russia yataka uchunguzi huru kuhusu shambulio la visima vya mafuta vya Saudia

    Sep 19, 2019 21:56

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametoa mwito wa kufanyika uchunguzi huru usiopendelea upande wowote kuhusu shambulizi dhidi ya taasisi za mafuta za ARAMCO za Saudi Arabia.

  • Sisitizo la Russia la kushirikiana na Iran kwa ajili ya kuanzisha mfumo mbadala wa SWIFT

    Sisitizo la Russia la kushirikiana na Iran kwa ajili ya kuanzisha mfumo mbadala wa SWIFT

    Sep 14, 2019 22:04

    Vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi ya Russia na Iran vinavyotekelezwa kwa visingizio mbalimbali vimezifanya nchi mbili hizi zifanye mashauriano lengo likiwa ni kutafuta njia za kukabiliana navyo. Russia inaitazama Iran kama nchi mshirika wake yenye maslahi ya pamoja ya pande mbili na wakati huo huo inatilia maanani suala la kuimarisha msimamo wa Iran katika kukabiliana na Magharibi hususan Marekani.

  • Ukosoaji wa Russia kwa nafasi haribifu ya Magharibi katika Ghuba ya Uajemi

    Ukosoaji wa Russia kwa nafasi haribifu ya Magharibi katika Ghuba ya Uajemi

    Sep 10, 2019 22:01

    Baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kutangaza kuiondoa nchi hiyo katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia mashuhuri kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) mnamo tarehe 8 Mei mwaka uliopita, alianza kutekeleza mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran.