-
Rais Putin wa Russia: Ninaamini Mungu. Na Mungu yu pamoja nasi
Dec 27, 2024 06:30Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, Mungu yuko pamoja na nchi yake akionyesha kujiamini kwamba Moscow itashinda katika mzozo wake na Ukraine.
-
Russia yajibu matamshi ya Grossi kuhusu Iran: IAEA inapaswa kutoegemea upande wowote
Dec 26, 2024 10:24Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, amejibu matamshi ya Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA), akisisitiza kwamba wakala huo haupaswi kusalimu amri kwa fikira potovu za nchi za Magharibi kuhusiana na suala la Iran.
-
Makamu wa Rais wa Iran ahimiza kustawishwa uhusiano na Russia
Dec 24, 2024 06:53Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Iran amesema kuwa, viongozi wa ngazi za juu wa Iran wana nia ya kweli ya kustawisha uhusiano na Russia katika viwango vya juu.
-
Iran na Russia zahimiza kuimarishwa uhusiano wa pande mbili
Dec 24, 2024 02:29Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuwa, serikali yake imedhamiria kikwelikweli kuimarisha uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Russia na kukamilishwa haraka njia ya Ukanda wa Kimataifa wa Usafiri wa Kaskazini-Kusini (INSTC).
-
Onyo la Putin kuhusu kuwekwa makombora mapya ya Marekani barani Ulaya na Asia
Dec 18, 2024 11:07Rais Vladimir Putin wa Russia, ametoa onyo kuhusu kuwekwa makombora ya masafa ya kati na mafupi ya Marekani barani Ulaya na Asia, akisisitiza kwamba nchi yake itatoa jibu la pande zote kwa hatua hiyo. Putin amesema, mpango wa Washington wa kuweka makombora barani Ulaya unaitia wasiwasi mkubwa Moscow.
-
Putin: Viongozi wa Magharibi wanadhani wao wanateuliwa na Mungu, japokuwa hawamuamini Mungu
Dec 17, 2024 06:04Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, nchi za Magharibi zinaendelea kufanya mambo kana kwamba ni wawakilishi wa Mungu duniani kwa kujaribu kudumisha ukiritimba wao wa kimataifa kwa kuweka kanuni za kidanganyifu.
-
Kuongezeka mpasuko ndani ya Umoja wa Ulaya juu ya utekelezaji wa vikwazo vipya dhidi ya Russia
Dec 09, 2024 03:09Hatua za Umoja wa Ulaya (EU) za kujaribu kufikia mwafaka juu ya utekelezaji wa kifurushi cha 15 cha vikwazo dhidi ya Russia zimegonga mwamba kutokana na kura za turufu zilizopigwa na Latvia na Lithuania.
-
Reuters: Utawala wa Bashar al-Assad umeanguka, Waziri Mkuu wa Syria: Tuko tayari kukabidhi madaraka
Dec 08, 2024 05:24Shirika la habari la Reuters limenukuu vyanzo vya jeshi la Syria vikisema kuwa maafisa wa ngazi za juu wa jeshi wametangaza kuanguka utawala wa Rais Bashar Assad kwa makamanda wa kijeshi.
-
Lavrov: Russia itatumia 'njia yoyote' kuhakikisha haishindwi katika vita vya Ukraine
Dec 07, 2024 02:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema, kutumiwa hivi majuzi na jeshi la nchi yake kombora la hypersonic katika vita vya Ukraine kumelenga kuzielewesha nchi za Magharibi kwamba Moscow iko tayari kutumia "njia yoyote" ili kuzuia kushindwa katika vita hivyo.
-
Russia: Marekani na Uingereza zinaeneza machafuko ndani ya Syria kupitia magenge ya kigaidi
Nov 29, 2024 11:41Russia imesema madola makubwa ya Magharibi yanayoongozwa na Marekani yanaendelea na vitendo vyao vya chuki dhidi ya Syria kwa kuwaunga mkono wanamgambo wanaoipinga serikali ya Damascus pamoja na makundi ya kigaidi ya kitakfiri katika kila pembe ya nchi hiyo ya Kiarabu.