Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Kupungua uzalishaji wa viwanda nchini Ujerumani; sababu na matokeo yake

    Kupungua uzalishaji wa viwanda nchini Ujerumani; sababu na matokeo yake

    Sep 09, 2023 07:22

    Wizara ya Uchumi na Teknolojia ya Ujerumani imeripoti kwamba uzalishaji wa viwanda nchini Julai iliyopita ulishuka kwa kasi kuliko ilivyotarajiwa, na hivyo kuweka wazi matatizo yanayoukabili uchumi mkubwa zaidi barani Ulaya.

  • Moscow: Marekani inatafakari kuwaua viongozi wa mapinduzi Niger

    Moscow: Marekani inatafakari kuwaua viongozi wa mapinduzi Niger

    Sep 08, 2023 03:49

    Shirika la Kijasusi la Russia nje ya nchi (SVR) limeonya kuwa, serikali ya Marekani inatafakari suala la kuwaua kigaidi viongozi walioongoza mapinduzi ya kijeshi nchini Niger.

  • Russia: Askari 66,000 wa Ukraine wameuawa katika kujibu mashambulio yetu

    Russia: Askari 66,000 wa Ukraine wameuawa katika kujibu mashambulio yetu

    Sep 05, 2023 23:43

    Waziri wa Ulinzi wa Russia ameashiria mashambulio ya kigaidi yaliyofanywa na Ukraine dhidi ya maeneo ya raia nchini humo na kutoa takwimu za vifo na hasara za uharibifu ilizopata Kiev katika operesheni ilizotekeleza kujibu mashambulio ya Moscow.

  • Hatua mpya ya Marekani ya kukoleza moto wa vita: Kuipelekea Ukraine risasi zenye madini ya urani

    Hatua mpya ya Marekani ya kukoleza moto wa vita: Kuipelekea Ukraine risasi zenye madini ya urani

    Sep 03, 2023 05:19

    Serikali ya Rais Joe Biden wa Marekani imeamua kwa mara ya kwanza kuipatia Ukraine risasi zenye madini ya urani hafifu. Risasi hizo ni sehemu ya shehena mpya ya silaha ambayo itatangazwa mnamo siku zijazo.

  • Veto ya Russia yazima vikwazo vya UN dhidi ya Mali

    Veto ya Russia yazima vikwazo vya UN dhidi ya Mali

    Aug 31, 2023 23:34

    Russia imetumia kura yake ya turufu kuzuia pendekezo la Ufaransa la kurefusha muda wa vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Mali.

  • Kundi la Brics linataka kuweko mfumo wa mabadilishano ya fedha usiotegemea Magharibi

    Kundi la Brics linataka kuweko mfumo wa mabadilishano ya fedha usiotegemea Magharibi

    Aug 25, 2023 22:51

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, kundi la kiuchumi la BRICS linapigania kuweko mfumo mpya wa mabadilishano ya fedha ambao hautategemea madola ya Magharibi.

  • Mkuu wa Wagner aaga dunia katika ajali ya ndege nchini Russia

    Mkuu wa Wagner aaga dunia katika ajali ya ndege nchini Russia

    Aug 24, 2023 03:47

    Kiongozi wa kundi la wanamgambo wa Wagner, Yevgeny Prigozhin ameripotiwa kuaga dunia katika ajali ya ndege huko kaskazini magharibi ya Russia.

  • Russia: Kundi la BRICS linapaswa kuwa nguzo ya mfumo mpya wa utawala duniani

    Russia: Kundi la BRICS linapaswa kuwa nguzo ya mfumo mpya wa utawala duniani

    Aug 21, 2023 23:06

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametilia mkazo wajibu wa kulifanya kundi la BRICS kuwa nguzo madhubuti ya mfumo mpya wa utawala duniani.

  • Raisi na Putin wasisitiza kuimarishwa ushirikiano wa pande mbili na kimataifa

    Raisi na Putin wasisitiza kuimarishwa ushirikiano wa pande mbili na kimataifa

    Aug 18, 2023 01:07

    Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia wamefanya mazungumzo ya simu na kubadilishana mawazo kuhusu masuala ya kieneo na kimataifa.

  • Putin na Kim watilia mkazo kuwepo uhusiano wa karibu zaidi kati ya Russia na Korea Kaskazini

    Putin na Kim watilia mkazo kuwepo uhusiano wa karibu zaidi kati ya Russia na Korea Kaskazini

    Aug 15, 2023 23:18

    Rais Vladimir Putin wa Russia na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un wameahidi kujenga ushirikiano wa karibu zaidi kati ya nchi zao mbili katika mawasiliano waliyofanya kwa barua kwa manasaba wa maadhimisho ya Siku ya Taifa ya Ukombozi wa Korea Kaskazini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS