-
Mwito wa Russia wa uchunguzi kuhusu jinai za kivita za Marekani nchini Afghanistan
Jun 21, 2023 02:41Ujumbe wa Russia umetoa mwito wa kuendelea kukusanywa taarifa na uchunguzi kuhusu jinai zilizofanywa na Marekani nchini Afghanistan. Mwito huo umetolewa katika kikao cha 53 cha Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa,
-
Sergei Lavrov:Hati ya usalama wa taifa wa Ujerumani ni kinyume ni maslahi ya raia wake
Jun 19, 2023 09:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameashiria hati mpya ya usalama wa taifa wa Ujerumani na kusema: Hati hiyo iko kinyume na maslahi na mantiki ya watu wa nchi hiyo.
-
Sisitizo la Rais wa Algeria la kuiunga mkono Russia licha ya mashinikizo ya Magharibi
Jun 18, 2023 02:47Rais Abdelmadjid Tebboune wa Algeria siku ya Alkhamisi alisema baada ya kuonana na rais mwenzake wa Russia mjini Moscow kwamba, Algiers iko chini ya mashinikizo makubwa ya madola ya Magharibi yanayoitaka isishirikiane na Moscow kivyovyote vile.
-
Rais wa Ukraine akataa pendekezo la amani la viongozi wa Afrika
Jun 17, 2023 12:06Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine amepuuzilia mbali mapendekezo ya ujumbe wa viongozi wa Afrika ya kufanyika mazungumzo ya kusitisha vita na kutafuta amani ya kudumu katika eneo hilo.
-
Zakharova: Russia itatumia silaha za nyuklia ikilazimu
Jun 16, 2023 07:38Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema nchi hiyo inaweza tu kutumia silaha zake za nyuklia katika mazingira maalum ya kujihami.
-
Ombi la Misri la kujiunga na BRICS; ishara ya kupunguza uhusiano wake na nchi za Magharibi
Jun 16, 2023 06:33Ikiwa ni katika mwenendo wa nchi za dunia kuvutiwa na miungano pamoja na mashirika yasiyofungamana na Marekani na nchi nyingine za Magharibi, Misri imeomba uanachama katika jumuiya ya BRICS.
-
Balozi wa Iran nchini Russia: Nchi za BRICS zitakuwa na sarafu isiyokuwa dola
Jun 15, 2023 11:15Balozi wa Iran nchini Russia ameeleza kuwa mustakabali wa uchumi wa dunia utakuwa wa nchi za BRICS na kuwa nchihizo zitakuwa na fedha zao zisizotegemea dola.
-
Ununuzi wa mafuta kutoka Iran, nembo ya kufeli sera za vikwazo za Magharibi
Jun 15, 2023 02:23Takwimu mpya zilizotolewa na Kituo cha Takwimu cha Ulaya (Eurostat) zinaonyesha kuwa, kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2018, Ujerumani imeagiza shehena kubwa ya mafuta au bidhaa za petroli kutoka Iran licha ya vikwazo vya Marekani.
-
Sisitizo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia kuwa Marekani inaunga mkono magaidi wa Daesh na Al Qaeda
Jun 07, 2023 10:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema Marekani inaunga mkono makundi ya kigaidi nchini Afghanistan kwa lengo la kuliyumbisha eneo.
-
Uzushi na undumakuwili wa Zelensky dhidi ya Iran
May 29, 2023 01:24Rais wa Ukraine kwa mara nyingine tena ameitaka Iran isiipatie Russia ndege za kivita zisizo na rubani kauli ambayo ameitoa kwa kutegemea madai bandia ambayo yamepingwa mara kadhaa na Iran na pia Ukraine haijaweza kutoa ushahidi wowote wa maana kuhusu madai hayo.