-
Raia milioni 3.5 wa Ukraine wamekimbilia Russia tokea Februari 2022
May 28, 2023 06:35Zaidi ya raia milioni tatu na laki tano wa Ukraine wametorokea nchini Russia tangu operesheni ya kijeshi ya Moscow dhidi ya Kiev ianze mnamo Februari 2022.
-
Russia: Katika masharti yetu ya suluhu ni Ukraine kutokuwa mwanachama wa NATO na EU
May 27, 2023 10:48Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametangaza kuwa kuachana Ukraine na ndoto ya kujiunga na shirika la kijeshi la NATO na Umoja wa Ulaya EU ni miongoni mwa masharti ya Moscow ya kufanya suluhu na nchi hiyo.
-
Russia: US inatuma magaidi Afghanistan kuyumbisha uthabiti wa eneo
May 26, 2023 09:45Russia imeituhumu Marekani kuwa inataka kutumia magenge ya kigaidi nchini Afghanistan kwa shabaha ya kuvuruga uthabiti katika eneo zima la Asia ya Kati.
-
Kremlin yajibu vitisho vya Ukraine vya kumuua Rais wa Russia
May 26, 2023 03:19Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Russia (Kremlin) amesema hatua ya watawala wa Ukraine ya kutishia kumuua kigaidi Rais Vladimir Putin wa Russia imeonyesha dhati ya ugaidi ya viongozi wa Kiev.
-
Maafisa wa Russia: Marekani inawapa mafunzo magaidi wa Daesh kwa ajili ya kufanya uharibifu dhidi ya Russia
May 25, 2023 05:47Mkurugenzi wa Idara ya Ujasusi wa Kigeni ya Russia ameishutumu Marekani kwa kuikalia kwa mabavu sehemu ya ardhi ya Syria na kuwafunza magaidi wa Daesh (ISIS) jinsi ya kufanya hujuma dhidi ya Moscow.
-
Kiongozi wa chama cha EFF cha Afrika Kusini: Russia inapambana na ubeberu, nitaipa silaha
May 24, 2023 11:33Kiongozi wa chama cha Economic Freedom Fighters (EFF), chama cha tatu kwa ukubwa cha kisiasa nchini Afrika Kusini, amesema "ataipatia silaha Russia" katika mzozo wake na Ukraine kwa sababu Moscow iko "katika vita dhidi ya ubeberu".
-
Putin:Sera za Magharibi zimesababisha ukosefu wa amani duniani
May 24, 2023 10:50Rais wa Russia ameeleza kuwa katika hali ambayo Wamagharibi wanalenga kuzidisha hali ya wasiwasi na ukosefu wa usalama duniani; nchi huru kuanzia Asia hadi Afrika zinapaswa kusaidia katika usanifu usiogawanyika wa usalama duniani.
-
Syria: Rais Assad hatakutana na Erdogan mpaka Uturuki ikomeshe uvamizi na ukaliaji wa ardhi
May 22, 2023 09:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Faisal al-Miqdad amesema, uhusiano wa nchi hiyo na Uturuki hautarejea katika hali ya kawaida isipokuwa tu kama nchi hiyo itaondoka katika ardhi ya Syria.
-
Russia yaamuru kukamatwa Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu
May 20, 2023 06:20Kufuatia tuhuma za uwongo zilizotolewa na Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) dhidi ya Rais wa Russia, nchi hiyo imetoa amri ya kukamatwa mwendesha mashtaka huyo.
-
Russia yalaani kauli ya rais wa Ufaransa kuhusu uhusiano wa Moscow na China
May 16, 2023 06:18Maafisa wa Russia wamelaani matamshi ya rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kwamba Moscow sasa inabadilika na kuwa kibaraka wa China.