Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Safari ya John Kerry mjini Beijing: Jitihada za kuzuia ukaribu wa China na Russia

    Safari ya John Kerry mjini Beijing: Jitihada za kuzuia ukaribu wa China na Russia

    Jul 18, 2023 01:49

    John Kerry, mwanadiplomasia mkongwe na mwakilishi maalum wa Marekani katika masuala ya tabianchi aliwasili China Jumapili.

  • Ukosoaji mkali wa Putin kwa hatua ya Ulaya ya kuifuata kibubusa Marekani

    Ukosoaji mkali wa Putin kwa hatua ya Ulaya ya kuifuata kibubusa Marekani

    Jul 17, 2023 22:57

    Rais Vladimir Putin wa Russia amekosoa vikali kutokuwa huru nchi za Ulaya na kuwa tayari nchi hizo kutekeleza kibubusa amri na maagizo ya Marekani.

  • Russia yasitisha ushiriki wake kwenye makubaliano ya nafaka ya Bahari Nyekundu

    Russia yasitisha ushiriki wake kwenye makubaliano ya nafaka ya Bahari Nyekundu

    Jul 17, 2023 08:39

    Ikulu ya Kremlin imetangaza kuwa Russia imesitisha ushiriki wake katika makubaliano ya kuruhusu meli ya Ukraine iliyobeba nafaka kuvuka Bahari Nyeusi kuelekea maeneo ya dunia yanayokabiliwa na njaa kwa ajili ya kufikisha bidhaa hiyo, hatua ambayo ni pigo kwa usalama wa chakula duniani, kutokana na ongezeko la bei kufuatia uvamizi wa Moscow dhidi ya Kyiv.

  • Russia yawatahadharisha Wamagharibi kuhusu kutuma mabomu ya vishada huko Ukraine

    Russia yawatahadharisha Wamagharibi kuhusu kutuma mabomu ya vishada huko Ukraine

    Jul 17, 2023 00:53

    Rais wa Russia amezitahadharisha nchi za Magharibi kuhusu kutuma mabomu ya vishada huko Ukraine kwa kisingizio cha vita. Rais Vladimir Putin amebainisha haya kufuatia uamuzi wa karibuni wa Marekani kuhusu kutuma silaha hizo zizilizopigwa marufuku kimataifa huko Ukraine.

  • Sisitizo la Russia la kuheshimu umoja wa ardhi yote ya Iran

    Sisitizo la Russia la kuheshimu umoja wa ardhi yote ya Iran

    Jul 16, 2023 04:34

    Mikhail Bogdanov, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia na mwakilishi maalumu wa rais wa nchi hiyo katika masuala ya Asia Magharibi na Afrika, amesisitiza juu ya kuheshimiwa mamlaka na umoja wa ardhi yote ya Iran kama nchi rafiki. Bogdanov ameyasema hayo katika mkutano na Kazem Jalali, Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Moscow.

  • Russia yarekebisha msimamo wake kuhusu visiwa vitatu vya Iran

    Russia yarekebisha msimamo wake kuhusu visiwa vitatu vya Iran

    Jul 14, 2023 23:56

    Mwakilishi maalumu wa Rais wa Russia katika masuala ya Mashariki ya Kati na Afrika amesisitiza misimamo thabiti ya nchi yake kuhusiana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwamba ni nchi rafiki na kwamba Moscow inaheshimu mamlaka na umoja wa ardhi yote ya Iran.

  • Russia: Tunakuchukulia kupata Ukraine ndege za kivita za F-16 kuwa ni kitisho cha nyuklia

    Russia: Tunakuchukulia kupata Ukraine ndege za kivita za F-16 kuwa ni kitisho cha nyuklia

    Jul 14, 2023 01:03

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema nchi yake, tofauti na Waanglo-Saxons, imekuwa ikitafuta amani kila wakati na akabainisha: "tunachukulia Ukraine kupata uwezo wa kijeshi kama wa kuwa na ndege za kivita za F-16 kwamba ni tishio la nyuklia kutoka Magharibi".

  • Siku  500 za vita huko Ukraine na mustakbali wake

    Siku 500 za vita huko Ukraine na mustakbali wake

    Jul 10, 2023 09:30

    Vita vya Ukraine vimepitisha siku 500 tangu kuanza na hakuonekani matarajio ya kumalizika vita hivyo vya umwagaji damu barani Ulaya. Vita hivyo ambavyo awali ilidhaniwa kwamba huwenda vingechukua muda mfupi na kumalizka haraka, sasa vimekuwa mapigano ya kijeshi ya muda mrefu na ya umwagaji damu.

  • Mkuu wa CIA alifanya safari ya siri Ukraine kabla ya uasi wa Wagner

    Mkuu wa CIA alifanya safari ya siri Ukraine kabla ya uasi wa Wagner

    Jul 01, 2023 07:06

    Magazeti ya Marekani yameripoti kuwa, Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) alifanya safari ya siri nchini Ukraine, siku chache kabla ya kufanyika uasi wa kundi la Wagner dhidi ya serikali ya Russia mnamo Juni 24.

  • Putin: Wamagharibi walitaka kuona Warusi wakiuana wenyewe kwa wenyewe

    Putin: Wamagharibi walitaka kuona Warusi wakiuana wenyewe kwa wenyewe

    Jun 27, 2023 03:26

    Rais Vladimir Putin wa Russia amesema aliagiza vikosi vya nchi hiyo vijiepushe na umwagaji damu wakati wa uasi wa kundi la Wagner mwishoni mwa wiki iliyopita, akisisitiza kuwa Ukraine na Wamagharibi walitaka kuona wananchi wa Russia wakiuana wenyewe kwa wenyewe.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS