-
Lavrov: Mazungumzo ya amani kuhusu Ukraine lazima yazingatie 'maslahi na wasiwasi ilionao Russia'
Apr 09, 2023 02:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema mazungumzo yoyote ya amani ya Ukraine lazima yalenge kuanzisha "nidhamu mpya wa dunia" na kuzingatia "maslahi ya Russia na wasiwasi ilionao".
-
Marekani imekithirisha uwekaji wa silaha zake za nyuklia katika bara la Ulaya
Apr 09, 2023 02:16Shirika la habari la Sputnik limetangaza kuwa Marekani imekithirisha uwekaji silaha zake za nyuklia barani Ulaya.
-
Ombi la Ufaransa na Marekani kwa China kuitaka iwe msuluhishi katika vita vya Ukraine
Apr 07, 2023 08:19Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa siku ya Jumatano aliwasili Beijing kwa ziara ya siku tatu nchini China. Ziara hiyo ni ya kwanza kufanywa na Macron nchini China tangu mwaka 2019. Rais huyo wa Ufaransa jana alifanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Xi Jinping.
-
Russia: Wakati wa kustaafu NATO umefika
Apr 07, 2023 02:20Akizungumzia kufeli kwa shughuli za Jumuiya ya Kujihami ya Nchi za Magharibi (NATO), msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema wakati wa kustaafu muungano wa NATO umewadia.
-
Lavrov: Russia na Marekani sasa zimeingia kwenye awamu ya Vita Moto
Apr 06, 2023 07:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergei Lavrov amebainisha kuwa, nchi hiyo na Marekani sasa zimeingia katika awamu ya vita moto kutokana na muendelezo wa utumaji silaha kutoka nchi za Magharibi hususan Marekani kuelekea Ukraine kwa kisingizio cha vita katika nchi hiyo.
-
Putin: Uhusiano wa Russia na Belarus unaimarika licha ya mashinikizo ya Magharibi
Apr 03, 2023 03:22Rais wa Russia amemhutubu Rais wa Belarus akisema: uhusiano wa Russia na Belarus unazidi kuimarika kuliko ikilinganishwa na huko nyuma licha ya vikwazo vya Magharibi. Rais Vladimir Putin wa Russia amebainisha hayo katika ujumbe wa pongezi aliomtumia Rais wa Belarus kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Muungano wa Moscow na Minsk.
-
Maafisa wa chama tawala Afrika Kusini wako Russia kujadili "Nidhamu Mpya ya Kimataifa"
Apr 02, 2023 10:51Chama tawala nchini Afrika Kusini ANC kimesema, kimetuma maafisa wake wakuu nchini Russia kujadiliana na wenzao wa chama tawala cha nchi hiyo kinachoongozwa na Rais Vladimir Putin juu ya namna ya "kurekebisha upya Nidhamu ya Kimataifa" (Global Order).
-
Russia yapinga vitendo vya uchochezi vya Marekani nchini Syria
Apr 02, 2023 08:05Kamanda wa ngazi za juu nchini Russia alitangaza siku ya Ijumaa kuwa Moscow iimelalmikia "vitendo vya uchochezi" vya vikosi vamizi vya Marekani nchini Syria.
-
kufutwa sarafu ya dola katika mabadilishano ya kibiashara kati ya Brazil na China
Apr 02, 2023 02:23Serikali za Brazil na China Jumatano, Machi 29, zilitangaza makubaliano ambapo dola ya Marekani utatupiliwa mbali na kuondolewa katika miamala ya kibiashara kati ya nchi hizo mbili.
-
Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Russia mjini Moscow
Mar 31, 2023 14:03Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na mwenzake wa Russia huko Moscow kuhusu uhusiano na masuala mengine yanayozihusu pande mbili.