-
China: Luteka ya pamoja na Iran, Russia imeimarisha ushirikiano wa pande tatu
Mar 31, 2023 02:16China imepongeza kufanyika kwa mafanikio hivi karibuni mazoezi ya pamoja ya kijeshi baina ya nchi hiyo, Iran na Russia katika Bahari ya Oman na kueleza kuwa, luteka hiyo imeimarisha ushirikiano na urafiki wa pande tatu katika usalama wa baharini.
-
Amnesty International yakosoa undumakuwili wa nchi za Magharibi katika uwanja wa haki za binadamu
Mar 29, 2023 10:20Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limekosoa vikali misimamo ya undumakuwili na ya kinafiki ya nchi za Magharibi katika kushughulikia ukiukwaji wa haki za binadamu katika nchi zinazopinga sera za nchi za Magharibi na kulegeza msimamo laini wa nchi hizo kwa baadhi ya washirika wao ukiwemo utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Amir-Abdollahian: JCPOA ni miongoni mwa maudhui tutakayoijadili katika mazungumzo na Russia
Mar 29, 2023 07:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema, watazungumzia na Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia makubaliano ya nyuklia ya JCPOA katika safari yake ya mjini Moscow.
-
Amnesty: Vita vya Russia na Ukraine vimeanika undumakuwili uliopo katika haki za binadamu
Mar 28, 2023 09:42Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeeleza katika ripoti yake mpya kuwa kuvamiwa Ukraine na Russia kumeanika undumilakuwili na unafiki uliopo kuhusu haki za binadamu katika uga wa kimataifa, kutokana na jinsi Magharibi ilivyochukua msimamo mkali dhidi ya Russia na kuonyesha "kimya cha uziwi" kwa ukiukaji wa haki za binadamu unaofanyika katika pembe zingine za dunia.
-
Museveni: Uganda inaridishwa na uhusiano wake wa kiulinzi na Russia
Mar 27, 2023 02:12Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda amepongeza ushirikiano mzuri wa kiulinzi na kijeshi wa Kampala na Moscow na kusisitiza kuwa, Uganda na Russia zimekuwa na mahusiano ya kuridhisha tangu enzi za Sovieti.
-
Tangazo la Putin la kupelekwa silaha za nyuklia za Russia nchini Belarus
Mar 27, 2023 02:10Rais Vladimir Putin wa Russia ametangaza kwamba katika kukabiliana na kushadidi kwa shughuli za kijeshi za nchi za Magharibi na ongezeko la msaada wao kwa jeshi la Ukraine, Moscow sasa itapeleka baadhi ya silaha zake za nyuklia za kimbinu huko Belarus.
-
Mkuu wa Duma atoa wito wa kupigwa marufuku shughuli za Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu nchini Russia
Mar 26, 2023 11:30Vyacheslav Volodin, Mkuu wa Bunge la Russia (Duma), amependekeza kupigwa marufuku shughuli za Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) nchini mwake baada ya mahakama hiyo kutoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladimir Putin.
-
Trump atiwa hofu na wasiwasi na muungano wa Iran, Saudia, China na Russia
Mar 26, 2023 07:09Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ameeleza hofu na wasi wasi alionao juu ya muungano unaoweza kuanzishwa kati ya Iran, Saudi Arabia, China na Russia.
-
Onyo la Russia kuhusu kuzuka vita vya nyuklia kufuatia ongezeko la kutumwa silaha za Magharibi nchini Ukraine
Mar 25, 2023 02:18Dmitry Medvedev, Naibu Mkuu wa Baraza la Usalama wa Kitaifa la Russia, ameonya juu ya uwezekano wa kutokea vita vya nyuklia, akisema kuendelea kutumwa silaha nchini Ukraine kunaongeza maradufu uwezekano wa kuibuka hivi karibuni vita vya nyuklia karibu katika eneo.
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu akanusha vikali uwepo wa Iran katika vita vya Ukraine
Mar 22, 2023 07:37Tangu kuanza vita vya Ukraine, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa ikisisitiza ulazima wa Russia na Ukraine kutatua mgogoro huo kwa njia za kisiasa na mazungumzo. Bila shaka, Tehran pia imechukua hatua kadhaa za kivitendo katika uwanja huo.