-
Russia yafungua kesi ya jinai dhidi ya mwendesha mashtaka mkuu wa ICC, majaji waliotoa hati ya kukamatwa Putin
Mar 21, 2023 10:32Russia imefungua kesi ya jinai dhidi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu na majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kujibu waranti ya kukamatwa kwa Rais Vladimir Putin kwa tuhuma za uhalifu wa kivita.
-
Medvedev atishia kuishambulia Mahakama ya Kimataifa ya Jinai kwa kombora la hypersonic
Mar 21, 2023 07:02Naibu wa Baraza la Usalama la Russia ametishia kuishambulia Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) huko Hague nchini Uholanzi kwa kutumia kombora la hypersonic.
-
Undumakuwili wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kuhusu jinai za kivita
Mar 19, 2023 07:41Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, ambayo inajiona kuwa mahakama ya kwanza ya kudumu ya kimataifa inayoshughulikia uhalifu wa mauaji ya halaiki, jinai dhidi ya binadamu, jinai za kivita na uchokozi, Ijumaa iliyopita ilitoa waranti wa kimataifa wa kukamatwa Rais Vladmir Putin wa Russia.
-
Vassily Nebenzia: Tutafungua mahakama ya kimataifa ya uhalifu kuhusu Ukraine
Mar 18, 2023 14:20Balozi wa Russia katika Umoja wa Mataifa ametoa matamshi yake kuhusu uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu dhidi ya Rais na Kamishna wa Haki za Watoto wa Russia akisema Moscow inajiandaa kufungua kesi kuhusiana na Ukraine.
-
Mazoezi ya pamoja ya majeshi ya majini ya Iran, China na Russia
Mar 17, 2023 02:15Mazoezi ya pamoja ya majeshi ya majini ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, China na Russia yanayofanyika kwa anwani ya "Ukanda wa Amani wa Baharini 2023", yameakisiwa sana kimataifa na kuwa habari ya kwanza katika vyombo mashuhuri vya habari duniani.
-
Iran, China na Russia zafanya luteka ya pamoja katika Bahari ya Oman
Mar 16, 2023 11:25Vikosi vya majini vya Iran, Russia na China vinaendelea na mazoezi ya pamoja ya kijeshi katika Bahari ya Oman, huo ukiwa ni muendelezo wa juhudi za nchi tatu hizo za kuimarisha ushirikiano wa majeshi yao ya baharini.
-
Russia yasema itajibu chokochoko zozote tarajiwa za Marekani
Mar 16, 2023 09:53Kufuatia makabiliano ya kijeshi kati ya Russia na Marekani katika anga ya Bahari Nyeusi Jumanne ya juzi, Wizara ya Ulinzi ya Russia imesisitiza kuwa, taifa hilo litatoa majibu muafaka kwa uchokozi wowote tarajiwa wa Marekani.
-
Makabiliano ya kijeshi yasiyo ya kawaida kati ya Russia na Marekani katika anga ya Bahari Nyeusi
Mar 16, 2023 04:15Kituo cha kamandi ya Marekani barani Ulaya kimetangaza kuwa Jumanne asubuhi, ndege ya kivita ya Russia aina ya Sukhoi Su-27 iligongana na ndege isiyo na rubani (droni) ya Marekani aina ya MQ-9 Reaper katika anga ya Bahari Nyeusi, na kupelekea droni hiyo kuanguka kwenye maji ya kimataifa.
-
Mazoezi ya pamoja ya kijeshi kati ya China, Iran na Russia yaanza katika Bahari ya Oman
Mar 15, 2023 07:58Wizara ya Ulinzi ya China imetangaza kuwa, mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya majini yanayoishirikisha nchi hiyo, Iran na Russia yatafanyika katika Bahari ya Oman kuanzia leo Jumatano hadi Machi 19.
-
Droni ya US yaanguka ikidaiwa kugongana na ndege ya kivita ya Russia, Moscow yakanusha
Mar 15, 2023 07:23Jeshi la Marekani limedai kuwa ndege ya kivita ya Russia ilinasa propela ya ndege moja ya kijasusi isiyo na rubani ya nchi hiyo na kuifanya ianguke kwenye Bahari Nyeusi jana Jumanne katika makabiliano ya kwanza ya moja kwa moja kati ya madola hayo mawili tangu Russia ilipoanzisha operesheni za kijeshi nchini Ukraine mwaka mmoja uliopita.