-
Russia: Malengo yetu Ukraine yataweza kufikiwa kwa operesheni za kijeshi tu
Mar 15, 2023 04:05Msemaji wa ofisi ya rais wa Russia amesema malengo ya nchi hiyo nchini Ukraine yanaweza kufikiwa kupitia operesheni za kijeshi tu.
-
Watoto karibu 50 kutoka familia za magaidi wa Daesh kuhamishiwa Moscow
Mar 13, 2023 02:48Watoto karibu 50 wa familia za masalia ya magaidi wa kundi la kitakfiri la Daesh (ISIS) wamehamishwa katika mji mkuu wa Russia, Moscow.
-
Russia: Madai ya New York kuhusu milipuko ya Nord Stream ni upotoshaji
Mar 08, 2023 06:40Russia imetangaza kuwa madai yaliyotolewa na gazeti la New York Times kuhusu milipuko iliyotokea kwenye mabomba ya kusafirisha gesi ya Nord Stream ni ya kubuniwa na opotoshaji wa makusudi unaofanywa na wale wanaopinga uchunguzi wa kisheria kuhusu shambulio hilo.
-
Russia: Marekani ndiyo sababu kuu ya kurefuka vita nchini Ukraine
Mar 08, 2023 02:24Msemaji wa ofisi ya rais wa Russia amesema, Marekani ndiyo sababu kuu ya kurefuka vita vinavyoendelea nchini Ukraine.
-
Marais Raisi na Putin wazungumzia uhusiano wa kiuchumi wa Iran na Russia
Mar 07, 2023 02:59Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Ebrahim Raisi na mwenzake wa Russia, Vladimir Putin wamesisitizia umuhimu wa kuchukua hatua za kuimarisha zaidi uhusiano wa kiuchumi kati ya nchi mbili hizi.
-
Mazungumzo ya Biden na Scholz: Kuongezeka mashinikizo dhidi ya Russia na misaada ya silaha kwa Ukraine
Mar 06, 2023 10:11Kitengo cha upashaji habari cha Ikulu ya Marekani, White House siku ya Ijumaa kilitoa taarifa baada ya mazungumzo ya rais wa nchi hiyo Joe Biden na kansela wa Ujerumani Olaf Scholz kikisema kuwa, nchi hizo mbili zimejipanga kuendelea na siasa za vvikwazo dhidi ya Russia hadi muda wowote zitakaohisi unafaa.
-
Russia yakosoa mienendo mibaya ya Bodi ya Magavana ya IAEA dhidi ya Iran
Mar 06, 2023 02:30Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika mashirika ya kimataifa yenye makao makuu mjini Vienna amekosoa mienendo mibaya ya Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) dhidi ya Iran.
-
Msemaji wa Kremlin: Moscow haitayarejesha maeneo yaliyounganishwa na Russia
Mar 01, 2023 02:22Msemaji wa ofisi ya rais wa Russia amesema, Moscow haitabadilisha msimamo wake kuhusu mikoa minne ya Ukraine iliyojiunga na nchi hiyo mwaka 2022 baada ya kuitisha kura ya maoni.
-
Mali: Russia ni mshirika wa kutegemewa wa nchi za Afrika
Mar 01, 2023 02:20Kaimu Waziri Mkuu wa Mali amesema Russia inaliheshimu na imelisaidia pakubwa taifa hilo la Afrika Magharibi katika vita dhidi ya ugaidi, na imethibitisha kivitendo kuwa haina masharti wala malengo fiche kwenye usaidizi wake.
-
Maandamano dhidi ya vita katika nchi za Ulaya
Feb 27, 2023 11:44Sambamba na kuendelea vita nchini Ukraine na hali mbaya ya kiuchumi na kijamii katika nchi mbalimbali za Ulaya, wananchi barani humo wamefanya maandamano katika nchi kadhaa wakipinga sera za nchi za Magharibi na kuingilia kati vita vya Ukraine.