-
Putin: Uhusiano wa Russia na Belarus unaimarika licha ya mashinikizo ya Magharibi
Apr 02, 2023 23:52Rais wa Russia amemhutubu Rais wa Belarus akisema: uhusiano wa Russia na Belarus unazidi kuimarika kuliko ikilinganishwa na huko nyuma licha ya vikwazo vya Magharibi. Rais Vladimir Putin wa Russia amebainisha hayo katika ujumbe wa pongezi aliomtumia Rais wa Belarus kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Muungano wa Moscow na Minsk.
-
Maafisa wa chama tawala Afrika Kusini wako Russia kujadili "Nidhamu Mpya ya Kimataifa"
Apr 02, 2023 07:21Chama tawala nchini Afrika Kusini ANC kimesema, kimetuma maafisa wake wakuu nchini Russia kujadiliana na wenzao wa chama tawala cha nchi hiyo kinachoongozwa na Rais Vladimir Putin juu ya namna ya "kurekebisha upya Nidhamu ya Kimataifa" (Global Order).
-
Russia yapinga vitendo vya uchochezi vya Marekani nchini Syria
Apr 02, 2023 04:35Kamanda wa ngazi za juu nchini Russia alitangaza siku ya Ijumaa kuwa Moscow iimelalmikia "vitendo vya uchochezi" vya vikosi vamizi vya Marekani nchini Syria.
-
kufutwa sarafu ya dola katika mabadilishano ya kibiashara kati ya Brazil na China
Apr 01, 2023 22:53Serikali za Brazil na China Jumatano, Machi 29, zilitangaza makubaliano ambapo dola ya Marekani utatupiliwa mbali na kuondolewa katika miamala ya kibiashara kati ya nchi hizo mbili.
-
Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Russia mjini Moscow
Mar 31, 2023 10:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na mwenzake wa Russia huko Moscow kuhusu uhusiano na masuala mengine yanayozihusu pande mbili.
-
China: Luteka ya pamoja na Iran, Russia imeimarisha ushirikiano wa pande tatu
Mar 30, 2023 22:46China imepongeza kufanyika kwa mafanikio hivi karibuni mazoezi ya pamoja ya kijeshi baina ya nchi hiyo, Iran na Russia katika Bahari ya Oman na kueleza kuwa, luteka hiyo imeimarisha ushirikiano na urafiki wa pande tatu katika usalama wa baharini.
-
Amnesty International yakosoa undumakuwili wa nchi za Magharibi katika uwanja wa haki za binadamu
Mar 29, 2023 06:50Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limekosoa vikali misimamo ya undumakuwili na ya kinafiki ya nchi za Magharibi katika kushughulikia ukiukwaji wa haki za binadamu katika nchi zinazopinga sera za nchi za Magharibi na kulegeza msimamo laini wa nchi hizo kwa baadhi ya washirika wao ukiwemo utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Amir-Abdollahian: JCPOA ni miongoni mwa maudhui tutakayoijadili katika mazungumzo na Russia
Mar 29, 2023 04:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema, watazungumzia na Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia makubaliano ya nyuklia ya JCPOA katika safari yake ya mjini Moscow.
-
Amnesty: Vita vya Russia na Ukraine vimeanika undumakuwili uliopo katika haki za binadamu
Mar 28, 2023 06:12Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeeleza katika ripoti yake mpya kuwa kuvamiwa Ukraine na Russia kumeanika undumilakuwili na unafiki uliopo kuhusu haki za binadamu katika uga wa kimataifa, kutokana na jinsi Magharibi ilivyochukua msimamo mkali dhidi ya Russia na kuonyesha "kimya cha uziwi" kwa ukiukaji wa haki za binadamu unaofanyika katika pembe zingine za dunia.
-
Museveni: Uganda inaridishwa na uhusiano wake wa kiulinzi na Russia
Mar 26, 2023 22:42Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda amepongeza ushirikiano mzuri wa kiulinzi na kijeshi wa Kampala na Moscow na kusisitiza kuwa, Uganda na Russia zimekuwa na mahusiano ya kuridhisha tangu enzi za Sovieti.