-
Tangazo la Putin la kupelekwa silaha za nyuklia za Russia nchini Belarus
Mar 26, 2023 22:40Rais Vladimir Putin wa Russia ametangaza kwamba katika kukabiliana na kushadidi kwa shughuli za kijeshi za nchi za Magharibi na ongezeko la msaada wao kwa jeshi la Ukraine, Moscow sasa itapeleka baadhi ya silaha zake za nyuklia za kimbinu huko Belarus.
-
Mkuu wa Duma atoa wito wa kupigwa marufuku shughuli za Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu nchini Russia
Mar 26, 2023 08:00Vyacheslav Volodin, Mkuu wa Bunge la Russia (Duma), amependekeza kupigwa marufuku shughuli za Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) nchini mwake baada ya mahakama hiyo kutoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladimir Putin.
-
Trump atiwa hofu na wasiwasi na muungano wa Iran, Saudia, China na Russia
Mar 26, 2023 03:39Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ameeleza hofu na wasi wasi alionao juu ya muungano unaoweza kuanzishwa kati ya Iran, Saudi Arabia, China na Russia.
-
Onyo la Russia kuhusu kuzuka vita vya nyuklia kufuatia ongezeko la kutumwa silaha za Magharibi nchini Ukraine
Mar 24, 2023 22:48Dmitry Medvedev, Naibu Mkuu wa Baraza la Usalama wa Kitaifa la Russia, ameonya juu ya uwezekano wa kutokea vita vya nyuklia, akisema kuendelea kutumwa silaha nchini Ukraine kunaongeza maradufu uwezekano wa kuibuka hivi karibuni vita vya nyuklia karibu katika eneo.
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu akanusha vikali uwepo wa Iran katika vita vya Ukraine
Mar 22, 2023 04:07Tangu kuanza vita vya Ukraine, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa ikisisitiza ulazima wa Russia na Ukraine kutatua mgogoro huo kwa njia za kisiasa na mazungumzo. Bila shaka, Tehran pia imechukua hatua kadhaa za kivitendo katika uwanja huo.
-
Russia yafungua kesi ya jinai dhidi ya mwendesha mashtaka mkuu wa ICC, majaji waliotoa hati ya kukamatwa Putin
Mar 21, 2023 07:02Russia imefungua kesi ya jinai dhidi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu na majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kujibu waranti ya kukamatwa kwa Rais Vladimir Putin kwa tuhuma za uhalifu wa kivita.
-
Medvedev atishia kuishambulia Mahakama ya Kimataifa ya Jinai kwa kombora la hypersonic
Mar 21, 2023 03:32Naibu wa Baraza la Usalama la Russia ametishia kuishambulia Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) huko Hague nchini Uholanzi kwa kutumia kombora la hypersonic.
-
Undumakuwili wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kuhusu jinai za kivita
Mar 19, 2023 04:11Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, ambayo inajiona kuwa mahakama ya kwanza ya kudumu ya kimataifa inayoshughulikia uhalifu wa mauaji ya halaiki, jinai dhidi ya binadamu, jinai za kivita na uchokozi, Ijumaa iliyopita ilitoa waranti wa kimataifa wa kukamatwa Rais Vladmir Putin wa Russia.
-
Vassily Nebenzia: Tutafungua mahakama ya kimataifa ya uhalifu kuhusu Ukraine
Mar 18, 2023 10:50Balozi wa Russia katika Umoja wa Mataifa ametoa matamshi yake kuhusu uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu dhidi ya Rais na Kamishna wa Haki za Watoto wa Russia akisema Moscow inajiandaa kufungua kesi kuhusiana na Ukraine.
-
Mazoezi ya pamoja ya majeshi ya majini ya Iran, China na Russia
Mar 16, 2023 22:45Mazoezi ya pamoja ya majeshi ya majini ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, China na Russia yanayofanyika kwa anwani ya "Ukanda wa Amani wa Baharini 2023", yameakisiwa sana kimataifa na kuwa habari ya kwanza katika vyombo mashuhuri vya habari duniani.