Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Russia: Kuna wajibu kwa jamii ya kimataifa kuungana kukabiliana na jinai za Marekani

    Russia: Kuna wajibu kwa jamii ya kimataifa kuungana kukabiliana na jinai za Marekani

    Nov 03, 2022 03:27

    Naibu wa Mkuu wa Timu ya Russia katika Kamati ya Kwanza ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa amesema, Marekani lazima ibebe lawama za jinai zake duniani na ameitaka jamii ya kimataifa kuungana kukabiliana na jinai hizo za Washington.

  • Wanaoiwekea vikwazo Russia sasa ndio wateja wake wakuu: Kushindwa kampeni ya vikwazo vya Magharibi

    Wanaoiwekea vikwazo Russia sasa ndio wateja wake wakuu: Kushindwa kampeni ya vikwazo vya Magharibi

    Nov 03, 2022 00:46

    Gazeti la Marekani la New York Times limeandika katika ripoti kwamba baadhi ya nchi za Magharibi zinazounga mkono vikwazo dhidi ya Russia zimeongeza uagizaji wa bidhaa na hasa nishati kutoka nchi hiyo tangu Februari mwaka huu.

  • IEF: Bei ya mafuta kupindukia dola 100 kwa pipa

    IEF: Bei ya mafuta kupindukia dola 100 kwa pipa

    Nov 02, 2022 22:59

    Jukwaa la Kimataifa la Nishati (IEF) limesema bei ya mafuta itapindukia dola 100 kwa pipa kutokana na utekelezaji wa vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia.

  • Russia: Tuko tayari kuimarisha uhusiano na Arab League

    Russia: Tuko tayari kuimarisha uhusiano na Arab League

    Nov 01, 2022 23:16

    Rais wa Russia amesisitiza kuwa Moscow iko tayari kuimarisha uhusiano wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League). Rais Vladimir Putin ameeleza hayo katika kukaribia mkutano wa Arab League huko Algeria.

  • Ukosoaji mkali wa Putin kwa mauaji ya kigaidi ya shahidi Luteni Jenerali Soleimani

    Ukosoaji mkali wa Putin kwa mauaji ya kigaidi ya shahidi Luteni Jenerali Soleimani

    Oct 29, 2022 07:45

    Akizungumza juzi Alhamisi katika Kongamano la Valdai, Rais Vladmir Putin wa Russia amekosoa mfumo na siasa za Magharibi na kueleza kuwa nchi za Magharibi zilimuua Luteni Jenerali Soleimani; katika hali ambayo shakhsia huyo alikuwa kiongozi rasmi nchini mwake na kuongeza kwamba Wamagharibi si tu hawajakana jambo hilo bali wanajifakharisha nalo.

  • Russia yaonya baada ya US kupeleka silaha mpya za nyuklia Ulaya

    Russia yaonya baada ya US kupeleka silaha mpya za nyuklia Ulaya

    Oct 29, 2022 07:11

    Russia imekosoa vikali hatua ya Marekani ya kupeleka silaha mpya za kisasa za nyuklia za B61 katika kambi za Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) barani Ulaya na kuonya kuwa, ikilazimu, Moscow itatoa jibu kali kwa kitendo hicho.

  • Mashtaka rasmi ya Russia kwa Umoja wa Mataifa kuhusu maabara za silaha za kibiolojia za Marekani nchini Ukraine

    Mashtaka rasmi ya Russia kwa Umoja wa Mataifa kuhusu maabara za silaha za kibiolojia za Marekani nchini Ukraine

    Oct 28, 2022 22:54

    Russia imepeleka malalamiko yake rasmi kwa Umoja wa Mataifa kuhusu kuwepo kwa maabara za silaha za kibiolojia za Marekani nchini Ukraine. Vasily Nebenzia, ​​mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa, amethibitisha kwamba nchi yake imekusanya ushahidi wa kutosha kuhusu uwepo wa maabara ya silaha hizo za kibiolojia za Marekani huko Ukraine.

  • Russia: Zelenskyy ni Bin Laden mwingine katika mavazi ya wazungu

    Russia: Zelenskyy ni Bin Laden mwingine katika mavazi ya wazungu

    Oct 25, 2022 23:39

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amemfananisha Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, na kiongozi aliyeangamizwa wa kundi la kigaidi la Al-Qaeda.

  • Barua ya Troika ya Ulaya kwa Umoja wa Mataifa: Mwendelezo wa vita vya kisiasa na kipropaganda dhidi ya Iran

    Barua ya Troika ya Ulaya kwa Umoja wa Mataifa: Mwendelezo wa vita vya kisiasa na kipropaganda dhidi ya Iran

    Oct 22, 2022 23:05

    Katika barua yake kwa Umoja wa Mataifa, Troika ya Umoja wa Ulaya inayojumuisha Uingereza, Ufaransa na Ujerumani, imekariri madai ambayo hayajathibitishwa kwamba Russia inatumia ndege zisizo na rubani zilizotengenezwa na Iran katika vita vya Ukraine, na imeutaka Umoja wa Mataifa kuchunguza iwapo huo ni ukiukaji ya Azimio 2231 la Baraza la Usalama au la

  • Mawaziri wa ulinzi wa Russia na US wafanya mazungumzo nadra ya simu kujadili vita vya Ukraine

    Mawaziri wa ulinzi wa Russia na US wafanya mazungumzo nadra ya simu kujadili vita vya Ukraine

    Oct 22, 2022 09:00

    Wizara za ulinzi za Marekani na Russia zimetangaza kuwa, mawaziri wa ulinzi wa nchi hizo mbili Lloyd Austin na Sergei Shoigu wamefanya mazungumzo nadra kwa njia ya simu yaliyojikita zaidi kujadili vita vya Ukraine.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS