-
Watu 55 wapoteza maisha nchini Niger kufuatia janga la mafuriko
Aug 12, 2021 23:02Takribani watu 55 wameaga dunia kufuatia janga la mafuriko nchini Niger huku 34 wakijeruhiwa na maelfu wakipoteza nyumba na makazi yao.
-
Guterres azitaka Marekani na Russia kudhibiti silaha zao za nyuklia
Aug 10, 2021 05:21Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito kwa Marekani na Russia akizitaka kudhibiti silaha za nyuklia.
-
China na Russia zaanza mazoezi yao ya pamoja ya kijeshi katika eneo la Ningxia
Aug 07, 2021 03:21China na Russia zimeanza mazoezi yao ya pamoja ya kijeshi katika eneo la Ningxia.
-
Russia: Tuko tayari kupatanisha mvutano kuhusu bwawa la Bwawa la Renaissance
Aug 06, 2021 20:35Balozi wa Russia mjini Cairo, Misri amesisitiza kuwa usalama wa maji ni changamo kubwa kwa Misri na ni kadhia muhimu kwa nchi hiyo.
-
Moscow: Taarifa kuhusu shambulizi dhidi ya meli ya Mercer Street zinakinzana
Aug 05, 2021 02:37Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amepinga tuhuma zilizotolewa hivi karibuni na utawala wa Kizayuni wa Israel na nchi za Magharibi dhidi ya Iran kuhusu shambulizi lililolenga meli ya Mercer Street na kusema, taarifa hizo zinakinzana na zimetegemea dhana na tetetsi.
-
Russia: Hakuna mbadala wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Aug 02, 2021 05:56Mwakilishi wa Russia katika taasisi za kimataifa zenye makao huko Vienna nchini Austria amesema njia pekee ya kuyahuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni kuyarejesha katika hali yake ya asili.
-
Ulyanov: Lengo la mazungumzo ya Vienna ni kuhuisha mapatano ya JCPOA
Jul 30, 2021 22:09Mwakilishi wa Russia katika taasisi za kimataifa zenye makao huko Vienna nchini Austria kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa, lengo la mazungumzo ya Vienna ni kuhuisha mapatano ya JCPOA.
-
Russia yaitaka Marekani iwaondoe wanajeshi wake Iraq, Libya, Syria na Afghanistan
Jul 28, 2021 03:17Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ameitaka Marekani iwaondoe wanajeshi wake huko Iraq, Libya, Afghanistan na Syria.
-
Bashar al Assad: Tunafanya jitihada ili wakimbizi wa Syria warejee nchini
Jul 27, 2021 02:52Rais wa Syria amesisitiza kuwa Damascus inafanya jitihada kuandaa mazingita ya kurejea wakimbizi nchini.
-
Lavrov: Magharibi imedhamiria kuanzisha "ukanda wa kuvuruga uthabiti" kuzunguka mipaka ya Russia
Jul 23, 2021 06:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema, nchi za Magharibi zimedhamiria kudhoofisha hali ya ndani ya nchi hiyo na kuvuruga uthabiti wakati huu wa kukaribia kufanyika uchaguzi wa bunge la chini la Duma.