-
Ukosoaji wa Umoja wa Mataifa kuhusu uwepo usio wa kijesheria wa majeshi ya kigeni nchini Syria
Jan 27, 2020 00:51Marekani imekuwepo kijeshi na kinyume cha sheria nchini Syria tangu mwaka 2014 kwa kisingizio cha kupambana na kundi la Daesh (ISIS), ambapo licha ya madai ya Rais Donand Trump ya kuwaondoa askari wa nchi yake kutoka taifa hilo la Kiarabu, lakini hadi leo askari hao wameendelea kuwepo sambamba na kupora mafuta ya Syria.
-
Russia yapinga vikali vitisho vya Marekani vya kumuua kigaidi Brig. Jen. Qaani
Jan 24, 2020 13:29Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amelaani vitisho vilivyotolewa na Marekani vya kumuua kigaidi kamanda mpya wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (Sepah).
-
Mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya Russia na Syria Baharini
Jan 21, 2020 21:33Majeshi ya Russia na Syria yamefanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi katika Bandari ya Tartus ya Syria katika pwani ya Bahari ya Mediterranea.
-
Waziri Mkuu mpya wa Russia aunga mkono mabadiliko ya kimfumo nchini humo
Jan 16, 2020 23:21Waziri Mkuu mpya wa Russia amesisitizia udharura wa kufanyika mabadiliko kwa ajili ya kuboresha hali ya mambo nchini humo.
-
Russia: Mauaji ya Jenerali Soleimani yanakiuka mipaka yote ya sheria na utu
Jan 14, 2020 23:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kitendo cha Marekani cha kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kinakiuka misingi na mipaka yote ya ubinadamu na sheria.
-
Russia: Hatua za Marekani zimesababisha maafa ya ndege ya Ukraine mjini Tehran
Jan 11, 2020 23:07Naibu Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Ulinzi ya Bunge la Russia (Duma) amesema kuwa, ni muhimu kutilia maanani uhakika kwamba, hatua za kichochezi za Marekani dhidi ya Iran ndiyo sababu ya tukio chungu la kuangushwa ndege ya Ukraine mjini Tehran.
-
Russia: Marekani inafifilisha makosa yake kwa kutumia sababu na matukio ya nje
Jan 08, 2020 21:46Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema, viongozi wa Marekani wanatumia kisingizio cha sababu na matukio ya nje ili kufifilisha na kuficha makosa yao.
-
Putin atembelea Syria na kukutana Assad, atembelea mitaa ya Damascus
Jan 07, 2020 23:19Rais Vladimir Putin wa Russia jana aliwasili Damascus mji mkuu wa Syria na kukutana na Rais wa nchi hiyo, Bashar Assad.
-
Kupinga Russia na China taarifa ya upande mmoja ya Marekani kuhusiana na matukio ya Iraq
Jan 07, 2020 23:17Jinai za Marekani huko Iraq hususan shambulio lake la kijeshi dhidi ya ngome za Harakati ya Wananchi ya al-Hashd al-Shaabi katika mpaka wa pamoja wa Iraq na Syria, zimekabiliwa na malalamiko makubwa ya Wairaqi ambao walifanya maandamano na kukusanyika katika ubalozi wa Marekani mjini Baghdad.
-
Waislamu wa Russia waandamana kulaani mauaji ya Jenerali Soleimani
Jan 07, 2020 04:18Waislamu nchini Russia wamefanya maandamano nje ya ubalozi wa Marekani mjini Moscow, kulaani hatua ya ugaidi ya utawala wa Donald Trump wa Marekani ya kumuua shahidi kamanda wa jeshi la Iran, Luteni Jenerali Qassem Soleimani.