Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rwanda

  • Chama cha FDU-Inkingi nchini Rwanda chakataa taarifa ya serikali kuwa kiongozi wa chama hicho ametoroka jela

    Chama cha FDU-Inkingi nchini Rwanda chakataa taarifa ya serikali kuwa kiongozi wa chama hicho ametoroka jela

    Oct 09, 2018 13:00

    Chama cha upinzani cha FDU-Inkingi nchini Rwanda kimepinga taarifa ya serikali kwamba, kiongozi namba mbili wa chama hicho, Boniface Twagirimana, alitoroka jela kwa kuruka ukuta.

  • Mkosoaji mkubwa wa Rais Kagame wa Rwanda, Diane Rwigara aachiwa huru

    Mkosoaji mkubwa wa Rais Kagame wa Rwanda, Diane Rwigara aachiwa huru

    Oct 05, 2018 11:54

    Vyombo vya Mahakama nchini Rwanda vimemuachia huru kwa dhamana mwanasiasa wa upinzani na mkosoaji mashuhuri wa Rais Paul Kagame wa nchi hiyo Diane Rwigara, ingawaje kwa masharti.

  • AU: Uchaguzi wa bunge la Rwanda ulikuwa huru na wa haki

    AU: Uchaguzi wa bunge la Rwanda ulikuwa huru na wa haki

    Sep 07, 2018 09:55

    Mkuu wa Timu ya uangalizi wa uchaguzi ya Umoja wa Afrika Bi. Aichatou Mindaoudou Souleymane, amesema kuwa, uchaguzi wa bunge la Rwanda umefanyika kwa uhuru na haki.

  • SAUTI, Kura za uchaguzi wa bunge uliofanyika nchini Rwanda leo, zimeanza kuhesabiwa, chama tawala kinaongoza

    SAUTI, Kura za uchaguzi wa bunge uliofanyika nchini Rwanda leo, zimeanza kuhesabiwa, chama tawala kinaongoza

    Sep 03, 2018 11:58

    Zoezi la kuhesabu kura za uchaguzi wa bunge uliofanyika mapema leo nchini Rwanda limeanza na chama ambapo chama tawala cha RPF kinaonekana kuongoza matokeo.

  • Uchaguzi wa bunge waanza Rwanda, RPF yatabiriwa ushindi

    Uchaguzi wa bunge waanza Rwanda, RPF yatabiriwa ushindi

    Sep 02, 2018 08:46

    Wananchi wa Rwanda wameanza kupiga kura katika uchaguzi wa bunge ambao unatazamiwa kukipa ushindi chama tawala cha Rwanda Patriotic Front (RPF).

  • Rais Paul Kagame wa Rwanda awataka viongozi wa Afrika kupambana na uhamiaji haramu

    Rais Paul Kagame wa Rwanda awataka viongozi wa Afrika kupambana na uhamiaji haramu

    Aug 23, 2018 12:16

    Rais Paul Kagame wa Rwanda ambaye pia ni mwenyekiti wa sasa wa Umoja wa Afrika amesema viongozi wa kiafrika wana kila sababu ya kuwafanya kusimama kidete kukomesha tatizo la uhamiaji haramu wa vijana wa kiafrika wanaokufa maji wakijaribu kukimbilia mataifa ya ulaya. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi…

  • SAUTI, Marais wastaafu wa Kiafrika wazitaka nchi za bara hilo kuacha tabia ya kuombaomba misaada

    SAUTI, Marais wastaafu wa Kiafrika wazitaka nchi za bara hilo kuacha tabia ya kuombaomba misaada

    Aug 03, 2018 03:27

    Marais saba wa zamani wa nchi za Kiafrika, walianza jana kikao cha siku mbili mjini Kigali, Rwanda ambapo wamesema kwamba serikali zilizoko madarakani barani Afrika zinahitaji mfumo bora wa ukusanyaji mapato.

  • SAUTI, Zaidi ya vijana 2000 kutoka nchi za Afrika wanakutana nchini Rwanda kujadili umuhimu wa kuenzi tamaduni bora

    SAUTI, Zaidi ya vijana 2000 kutoka nchi za Afrika wanakutana nchini Rwanda kujadili umuhimu wa kuenzi tamaduni bora

    Jul 26, 2018 11:52

    Zaidi ya vijana 2000 kutoka nchi mbalimbali za Afrika wanakutana mjini Kigali Rwanda katika kujadili masuala muhimu yenye lengo la kuzishauri serikali za mataifa hayo kujiepusha na ukoloni mamboleo.

  • SAUTI, Rais Xi Jin Ping wa China: Beijing imeazimia kuimarisha uhusiano mwema na nchi za bara la Afrika

    SAUTI, Rais Xi Jin Ping wa China: Beijing imeazimia kuimarisha uhusiano mwema na nchi za bara la Afrika

    Jul 23, 2018 11:01

    Rais wa China Xi Jin Ping amesema kuwa, nchi yake imejizatiti kuzidisha ushirikiano wake na bara la Afrika kutoka na hatua ya maendeleo yanayoendelea kuonekana barani humo.

  • Rwanda haitasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani kuhusu mitumba

    Rwanda haitasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani kuhusu mitumba

    Jun 23, 2018 09:17

    Rwanda imesema haitasalimu amri mbele ya Marekani kuhusu uamuzi wake wa kupiga marufuku nguo za mitumba.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS