Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rwanda

  • SAUTI, Nchi za Afrika zashauriwa kuacha kuiga nchi zilizoendelea, na badala yake zitumie ubunifu wao zenyewe

    SAUTI, Nchi za Afrika zashauriwa kuacha kuiga nchi zilizoendelea, na badala yake zitumie ubunifu wao zenyewe

    Jun 08, 2018 11:34

    Watafiti wa bara la Afrika waliokutana mjini Kigali Rwanda, wameziomba serikali za Kiafrika kuacha kuiga stratijia za mataifa yaliyoendelea, na badala yake watumie ujuzi wazo wenyewe katika uwanja huo.

  • Rwanda yachukua hatua kali zaidi dhidi ya vyombo vya plastiki + Sauti

    Rwanda yachukua hatua kali zaidi dhidi ya vyombo vya plastiki + Sauti

    Jun 05, 2018 13:26

    Wakati dunia ikiadhimisha siku ya mazingira, serikali ya Rwanda imepiga hatua nyingine mbele ya kukomesha matumizi ya aina yoyote ya vifaa vya plastiki kwa sababu vinahatarisha maisha ya viumbe hai.

  • Rwanda na Russia zafanya mazungumzo kuhusu kuongeza ushirikiano wa kijeshi

    Rwanda na Russia zafanya mazungumzo kuhusu kuongeza ushirikiano wa kijeshi

    Jun 04, 2018 22:36

    Mawaziri wa mambo ya nje wa Russia na Rwanda wamefanya mazungumzo kuhusu njia za kuongeza ushirikiano wao katika masuala ya kijeshi.

  • Mgogoro wa Marekani na Rwanda kuhusu nguo za mtumba

    Mgogoro wa Marekani na Rwanda kuhusu nguo za mtumba

    Jun 02, 2018 08:53

    Hatua ya serikali ya Rwanda kupiga marufuku nguo za mtumba kutoka Marekani imepelekea kuibuka msuguano baina ya nchi hizo mbili.

  • Waafrika wengi hutembelea zaidi bara hilo kuliko kutoka nje yake – Ripoti

    Waafrika wengi hutembelea zaidi bara hilo kuliko kutoka nje yake – Ripoti

    Jun 01, 2018 23:40

    Uchunguzi uliofanywa na wataalamu wa kimataifa kuhusu faida za wahamiaji kwa nchi wanazotembelea na wanazotoka unaonesha kuwa, asilimia kubwa ya Waafrika wanapenda kutembelea nchi za bara hilo kuliko kutoka nje ya Afrika.

  • SAUTI, Polisi ya Rwanda yawataka raia kuacha kuingia hifadhi za Tanzania kinyemela ili kuepuka matatizo

    SAUTI, Polisi ya Rwanda yawataka raia kuacha kuingia hifadhi za Tanzania kinyemela ili kuepuka matatizo

    May 30, 2018 12:46

    Katika juhudi za kudumisha ujirani mwema kati ya Rwanda na Tanzania, serikali ya Kigali imewaonya raia wa taifa hilo hususan wale wanaoisho maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo karibu na mpaka wa Tanzania kujiepusha na vitendo vya kuvuka mpaka kuingia nchi hiyo jirani.

  • Rwanda kuanza kuzalisha na kuuza silaha (RIPOTI)

    Rwanda kuanza kuzalisha na kuuza silaha (RIPOTI)

    May 29, 2018 10:25

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo, bunge la Rwanda limepitisha kwa kauli moja muswada wa sheria inayoruhusu watu kutengeneza, kuuza na kumiliki silaha.

  • SAUTI, Wasomi wawakosoa vikali viongozi wa Kiafrika kwa hatua yao ya kukiuka misingi ya demokrasia

    SAUTI, Wasomi wawakosoa vikali viongozi wa Kiafrika kwa hatua yao ya kukiuka misingi ya demokrasia

    May 25, 2018 10:57

    Wakati Afrika ikiadhimisha siku ya 'Ukombozi wa Bara la Afrika' watafiti na wasomi mbalimbali wamekosoa utumiaji mabavu wa watawala wa nchi za bara hilo dhidi ya wananchi wanaowakosoa kutokana na uongozi wao mbovu serikalini.

  • Simu za rununu zasababisha kukua uchumi wa Afrika (SAUTI)

    Simu za rununu zasababisha kukua uchumi wa Afrika (SAUTI)

    May 17, 2018 09:39

    Hii ni kwa mujibu wa utafiti wa IMF..

  • Maporomoko ya udongo yauwa watu 18 Rwanda, mvua kali zinaendelea kunyesha

    Maporomoko ya udongo yauwa watu 18 Rwanda, mvua kali zinaendelea kunyesha

    May 07, 2018 10:55

    Maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa yameuwa watu 18 katika mikoa ya kaskazini na magharibi mwa Rwanda mwishoni mwa wiki na kuifanya idadi ya watu walioaga dunia tangu mwezi Januari mwaka huu kutokana na mvua kali nchini humo kuwa zaidi ya 200.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS