Simu za rununu zasababisha kukua uchumi wa Afrika (SAUTI)
May 17, 2018 09:39 UTC
Hii ni kwa mujibu wa utafiti wa IMF..
Utafiti uliotangazwa na Shirika la Fedha Duniani umeonyesha kwamba ongezeko la matumizi ya simu na mawasiliano kwa kiwango cha asilimia 10% kwa kila nchi barani Afrika kumesababisha kukua kwa uchumi kwa kiwango cha asilimia 4.2% katika nchi husika. IMF inasema hali hii inaweza kuchochea ukuaji imara wa uchumi ikiwa serikali za bara hilo zitalitambua hilo na kulitilia mkazo. Bonyeza kusikiliza ripoti ya mwandishi wetu wa Kigali, Sylivanus Karemera......
Tags