Rwanda kuanza kuzalisha na kuuza silaha (RIPOTI)
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i45142-rwanda_kuanza_kuzalisha_na_kuuza_silaha_(ripoti)
Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo, bunge la Rwanda limepitisha kwa kauli moja muswada wa sheria inayoruhusu watu kutengeneza, kuuza na kumiliki silaha.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
May 29, 2018 10:25 UTC

Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo, bunge la Rwanda limepitisha kwa kauli moja muswada wa sheria inayoruhusu watu kutengeneza, kuuza na kumiliki silaha.

Hata hivyo hatua hiyo imezua maoni tofauti lakini serikali inashikilia kuwa hilo halitasababisha madhara yoyote.

Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylvanus Karemera anaripoti zaidi...