-
Brigedia Salami: Jeshi la SEPAH la Iran ni ngao madhubuti kwa umma mzima wa Kiislamu
Apr 21, 2018 03:36Kaimu Kamanda Mkuu wa jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) amesema kuwa, tangu jeshi hilo lilipovaa mavazi ya jihadi, limekuwa ngao imara kwa umma wote wa Kiislamu.
-
Ayatullah Khatami: Adui anafanya njama za kulivunja moyo taifa la Iran
Jan 26, 2018 16:51Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa njama za maadui wa Uislamu sasa zimeelekezwa katika mitandao ya kijamii na wanafanya jitihada za kulivunja moyo na kulikosesha matumaini taifa la Iran.
-
Khatami: Fujo za Iran zimechochewa na Marekani na waitifaki wake
Jan 05, 2018 15:15Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema, fujo ambazo zimeshuhudiwa siku za hivi karibuni mjini Tehran zinaashiria kuwepo uchochezi wa Marekani na vibaraka wake.
-
Serikali ya Ufaransa yawawekea Waislamu vizuizi vipya wasiweze kusali Sala ya Ijumaa katika mji wa Paris
Nov 20, 2017 07:45Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa Gerard Collomb amesema ni marufuku kusali Sala la Ijumaa katika eneo la Clichy kaskazini mwa mji mkuu wa nchi hiyo, Paris.
-
Ayatullah Kermani: Marekani ni kinara wa jinai, mipango ya Trump ni ya kipumbavu
Nov 03, 2017 14:21Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo Tehran amesema Wamarekani ni wenye kuvunja ahadi na kuongeza kuwa, Marekani ni kinara wa uhaini na jinai zote duniani.
-
Iran itatoa jibu linalofaa kwa uadui wa Marekani
Oct 13, 2017 15:33Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa ya Tehran ameashiria kufanyika kura ya maoni ya kujitenga eneo la Kurdistan la Iraq na kusema kuwa, adui amegonga mwamba katika njama yake ya kuunda kile kinachodaiwa kuwa ni 'Mashariki ya Kati Mpya.'
-
Mpango wa kujitenga Kurdistan na Iraq ni njama za Wazayuni
Sep 29, 2017 14:26Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa Tehran amesema, kura ya maoni ya kujitenga na Iraq eneo la Kurdistan ni njama ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Askari wa Bahrain wazuia Swala ya Ijumaa kwa wiki ya 62 mtawalia huko al Deraz
Sep 22, 2017 16:23Askari usalama wa Bahrain leo Ijumaa wamezuia kufanyika Swala ya Ijumaa katika eneo la al Deraz katika mji mkuu wa nchi hiyo, Manama kwa wiki ya 62 mtawalia.
-
Ayatullah Movahhedi Kermani: Mataifa ya Kiislamu yaamke dhidi ya jinai za Mabudha wa Myanmar
Sep 08, 2017 18:54Hatibu wa Swala ya Ijumaa hapa Tehran amesema kuwa hakuna matumaini ya kuona taasisi za kimataifa zikisaidia kuzuia mauaji ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar na ameyataka mataifa ya Kiislamu kuamka na kusimama kidete dhidi ya jinai zinazofanywa na jeshi na Mabudha wa nchi hiyo.
-
Utawala wa Bahrain waendelea kuzuia Sala ya Ijumaa
Sep 01, 2017 15:03Vikosi vya usalama nchini Bahrain leo vimewazuia tena Waislamu wa eneo la Diraz kusali Sala ya Ijumaa.