Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Senegal

  • Marasimu ya miaka 41 ya Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yafanyika Senegal

    Marasimu ya miaka 41 ya Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yafanyika Senegal

    Feb 14, 2020 03:59

    Marasimu ya kuadhimisha mwaka wa 41 wa Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yamefanyika nchini Senegal.

  • Rais wa Senegal atangaza msamaha kwa kinara wa upinzani

    Rais wa Senegal atangaza msamaha kwa kinara wa upinzani

    Sep 30, 2019 04:03

    Rais Macky Sall wa Senegal ametangaza msahama kwa kiongozi wa upinzani nchini humo, Khalifa Sall ambaye alikuwa anatumikia kifungo cha miaka mitano jela tokea mwaka jana 2018 baada ya kupatikana na hatia katika kesi ya ufisadi iliyokuwa ikimkabili.

  • Iran na Senegal zasisitiza kustawisha uhusiano baina yao

    Iran na Senegal zasisitiza kustawisha uhusiano baina yao

    Jul 25, 2019 22:31

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Rais wa Senegal wamesisitiza kustawishwa uhusiano wa pande mbili katika nyanja zote.

  • Rais wa Senegal amtaka Waziri Mkuu wa nchi hiyo 'ajifute kazi'

    Rais wa Senegal amtaka Waziri Mkuu wa nchi hiyo 'ajifute kazi'

    Apr 07, 2019 02:35

    Rais wa Senegal, Macky Sall ambaye alishinda muhula wa pili katika uchaguzi wa hivi karibuni amemtaka Waziri Mkuu wa nchi hiyo kuzindua mageuzi ya uongozi, yanayojumuisha kufuta wadhifa wa Uwaziri Mkuu.

  • Macky Sall ashinda tena kiti cha urais Senegal kwa kupata asilimia 58 ya kura

    Macky Sall ashinda tena kiti cha urais Senegal kwa kupata asilimia 58 ya kura

    Feb 28, 2019 12:32

    Rais Macky Sall wa Senegal ameshinda tena kiti cha urais kwa kuibuka na ushindi wa asilimia 58 ya kura zilizopigwa katika uchaguzi wa Jumapili iliyopita. Hayo ni kwa mujibu wa matokeo ya muda yaliyotangazwa leo na Tume ya Uchaguzi ya Senegal.

  • Kambi ya Rais wa Senegal: Macky Sall ameshinda Urais; upinzani wadai uchaguzi utaingia duru ya pili

    Kambi ya Rais wa Senegal: Macky Sall ameshinda Urais; upinzani wadai uchaguzi utaingia duru ya pili

    Feb 25, 2019 12:19

    Kambi ya Rais wa sasa wa Senegal Macky Sall imetangaza kuwa, mgombea wake ameibuka mshindi kufuatia uchaguzi uliofanyika jana.

  • Wasenegal wapiga kura, Sall atazamiwa kushinda muhula wa pili wa rais

    Wasenegal wapiga kura, Sall atazamiwa kushinda muhula wa pili wa rais

    Feb 24, 2019 11:02

    Rais wa Senegal, Macky Sall anatazamiwa kushinda muhula wa pili wa kiti cha urais katika uchaguzi mkuu wa leo, baada ya shakhsia wawili mashuhuri wa upinzani wa nchi hiyo kuzuiwa kushiriki kwenye uchaguzi huo kwa tuhuma za ufisadi.

  • Wagombea watano kuchuana katika uchaguzi wa Rais wa Senegal

    Wagombea watano kuchuana katika uchaguzi wa Rais wa Senegal

    Feb 20, 2019 10:48

    Senegal ambayo inatajwa kuwa nchi yenye demokrasia iliyoimarika zaidi magharibi mwa Afrika inajianda kwa ajili ya uchaguzi wa rais Jumapili ijayo huku rais wa sasa wa nchi hiyo Macky Sally akitazamia kuchuana kwenye kinyang'anyiro hicho na wagombea wengine wanne.

  • Serikali ya Afrika Kusini yalia na madola ya  Magharibi baada ya Rais Ramaphosa kutakiwa atokomeze rushwa

    Serikali ya Afrika Kusini yalia na madola ya Magharibi baada ya Rais Ramaphosa kutakiwa atokomeze rushwa

    Feb 04, 2019 01:08

    Serikali ya Afrika Kusini imeelezea kusikitishwa kwake baada ya Marekani na balozi nyingine za Ulaya kumuandikia barua Rais Cyril Ramaphosa zikimtaka achukue hatua zaidi za kupambana na rushwa na kuimarisha mazingira mazuri ya biashara kwa wawekezaji.

  • Benki ya Maendeleo ya Afrika yaipa Senegal msaada wa dola milioni 200

    Benki ya Maendeleo ya Afrika yaipa Senegal msaada wa dola milioni 200

    Oct 03, 2018 10:16

    Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imeipa Senegal msaada wa zaidi ya dola milioni mia mbili za Kimarekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS