Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sheikh Ibrahim Zakzaky

  • Sheikh Ibrahim Zakzaky apinga pendekezo la Trump kuhusu Gaza

    Sheikh Ibrahim Zakzaky apinga pendekezo la Trump kuhusu Gaza

    Aug 03, 2026 02:46

    Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky, amelitaja pendekezo la Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu makubaliano ya usitishaji vita kati ya Israel na Hamas kuwa ni “uoga”, hasa kutokana na sharti linalodaiwa la kuitaka Hamas kusalimisha silaha zake.

  • Sheikh Zakzaky: Jina la kiongozi aliyeuawa shahidi wa Iran limekuwa membo ya mapambano

    Sheikh Zakzaky: Jina la kiongozi aliyeuawa shahidi wa Iran limekuwa membo ya mapambano

    Apr 26, 2026 09:23

    Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria, amemtaja Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, kiongozi aliyeuawa shahidi wa Iran, kuwa ni nembo mapambano, imani na kusimama kidete.

  • Sheikh Zakzkay: Muqawama umezaliwa upya nchini Lebanon

    Sheikh Zakzkay: Muqawama umezaliwa upya nchini Lebanon

    Feb 23, 2025 23:36

    Kiongozi wa Waislamu wa madhebeu ya Shia nchini Nigeria amesisitiza kuwa, kushiriki mamilioni ya watu katika mazishi ya Mashahidi wa Muqawama ni sawa na "kuzaliwa upya Muqawama wa Lebanon".

  • Zakzaky: Mauaji ya halaiki ya Gaza yanaonesha udhaifu wa Israel

    Zakzaky: Mauaji ya halaiki ya Gaza yanaonesha udhaifu wa Israel

    Oct 19, 2023 23:28

    Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema mauaji makubwa ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza yameonyesha kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel una udhaifu mkubwa.

  • Zakzaky akiwa Tehran: Mapinduzi ya Kiislamu yataleta mabadiliko duniani

    Zakzaky akiwa Tehran: Mapinduzi ya Kiislamu yataleta mabadiliko duniani

    Oct 11, 2023 08:39

    Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) amesema anatumai Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yataleta mabadiliko na mageuzi katika kona zote za dunia.

  • Zakzaky: US, Ufaransa zinataka kuibua uhasama baina ya Nigeria na Niger

    Zakzaky: US, Ufaransa zinataka kuibua uhasama baina ya Nigeria na Niger

    Aug 19, 2023 07:00

    Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) ametahadharisha juu ya njama na majungu yanayopikwa na Marekani na Ufaransa ya kupanda mbegu za chuki, uhasama na mifarakano baina ya Nigeria na jirani yake Niger.

  • Harakati ya Kiislamu Nigeria: Shekh Zakzaky agawa misaada ya chakula kwa wahitaji

    Harakati ya Kiislamu Nigeria: Shekh Zakzaky agawa misaada ya chakula kwa wahitaji

    Apr 02, 2023 23:51

    Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imetangaza kuwa imegawa vifurushi mbaimbali bidhaa za chakula kwa watu wanohitajia nchini humo.

  • Matokeo ya mashambulizi dhidi ya wafuasi wa Sheikh Zakzaky nchini Nigeria

    Matokeo ya mashambulizi dhidi ya wafuasi wa Sheikh Zakzaky nchini Nigeria

    Mar 19, 2023 22:47

    Mashinikizo dhidi ya Waislamu wa Nigeria na wafuasi wa Sheikh Ibrahim Zakzaky bado yanaendelea. Kuhusiana na hilo, vikosi vya usalama katika jimbo la Kaduna vimewaua watu wasiopungua 6 katika shambulio dhidi ya wafuasi wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.

  • Wanigeria waandamana kutaka Zakzaky apewe paspoti yake

    Wanigeria waandamana kutaka Zakzaky apewe paspoti yake

    Apr 12, 2022 05:57

    Wananchi wa Nigeria wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo Abuja, kuishinikiza serikali ya nchi hiyo impe Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo pasipoti yake ya kusafiria iliyotwaa.

  • Sheikh Zakzaky awataka walimwengu wakabiliane na mashambulio ya Saudia dhidi ya Yemern

    Sheikh Zakzaky awataka walimwengu wakabiliane na mashambulio ya Saudia dhidi ya Yemern

    Feb 06, 2022 01:12

    Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amewataka walimwengu kujitokeza na kukabiliana na hujuma na mashambulio ya muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya wananchi madhulumu wa Yemen.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS