-
WHO yakosoa nchi zinazowapiga watu 'dozi ya ziada' ya chanjo ya Corona
Aug 04, 2021 22:02Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ametoa mwito wa kusimamishwa kampeni inayoendelezwa na baadhi ya nchi hususan za Ulaya ya kuwapiga wananchi wao chanjo ya ziada ya kuzuia virusi vya Corona, katika hali ambayo mamilioni ya watu duniani hawajapigwa hata chanjo ya kwanza.
-
Waafrika milioni 146 wanakufa kila mwaka kwa magonjwa yanayohusishwa na tumbaku
Jun 19, 2021 00:42Shirika la Afya Duniani (WHO) limefichua kuwa, watu wasiopungua milioni 146 wanafariki dunia kila mwaka kutokana na magonjwa yanayonasibishwa na matumizi ya tumbaku barani Afrika.
-
WHO: Hatutailazimisha China itupe taarifa zaidi kuhusu chanzo cha Corona
Jun 08, 2021 03:19Afisa wa ngazi ya juu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema taasisi hiyo ya kimataifa haitashurutisha China itoe data na taarifa zaidi juu ya chanzo cha virusi vya Corona.
-
WHO: Corona haitamalizika kabla ya asilimia 70 ya walimwengu kupewa chanjo
May 29, 2021 02:38Mkurugenzi wa Shirika la Afya Dunia (WHO) kanda ya Ulaya amesema kuwa maambukizi ya virusi vya corona hayawezi kukomeshwa hadi pale asilimia 70 ya watu wote duniani watakapopata chanjo ya kukabiliana na virusi hivyo.
-
WHO: Corona imezidisha idadi ya wenye kupatwa na matatizo za kiakili Afrika
Oct 09, 2020 04:24Shirika la Afya Duniani (WHO) limetadharisha juu ya ongezeko la watu wanaokumbwa na matatizo ya kisaikolojia barani Afrika, kutokana na athari hasi za janga la corona.
-
WHO: Virusi vya corona vitaendelea kusumbua dunia kwa miaka miwili ijayo
Sep 11, 2020 07:33Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa virusi vya corona vitadhibitiwa miaka miwili ijayo.
-
Baada ya vitisho, Marekani yatangaza tarehe ya kujiondoa WHO
Sep 04, 2020 02:40Miezi michache baada ya Marekani kuamua kulikatia misaada yote ya kifedha Shirika la Afya Duniani kwa madai kwamba linadhibitiwa na China, sasa utawala wa Donald Trump umeenda mbali zaidi ya kuainisha tarehe ya kujiondoa WHO.
-
WHO yatahadharisha kuhusu ufisadi katika ugavi wa vifaa vya tiba na kujikinga na corona
Aug 22, 2020 04:18Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ametahadharisha kuwa, ufisadi unaoonekana katika ugavi wa vifaa na zana za madaktari na wauguzi kwa ajili ya kujikinga na ugonjwa wa COVID-19 ni kielelezo cha uhalifu na jinai.
-
WHO: Covid-19 ni janga baya zaidi la afya linaloikabili dunia
Jul 28, 2020 00:13Maambukizi mapya ya virusi vya corona yaliyopelekea watu zaidi ya milioni 16 kuathiriwa na virusi hivyo ni janga baya zaidi la kiafya duniani kuwahi kulikumba Shirika la Afya Duniani (WHO).
-
Burundi yawatimua nchini humo maafisa wa WHO wakati huu wa corona
May 14, 2020 19:58Serikali ya Burundi imemfukuza nchini humo Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini humo na maafisa watatu wa timu yake waliokuwa wakifuatilia mwenendo wa mlipuko wa ugonjwa wa Covid-19 (corona) katika nchi hiyo.