Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Shirika la Afya Duniani

  • WHO: Kulegezwa vizuizi vya watu kubaki majumbani kutaibua changamoto

    WHO: Kulegezwa vizuizi vya watu kubaki majumbani kutaibua changamoto

    May 13, 2020 09:02

    Wakati idadi ya watu waliougua ugonjwa COVID-19 unaosababishwa na virusi vya corona ikifikia zaidi ya milioni 4 duniani kote, Shirika la Afya Duniani, WHO limesema, hatua ya baadhi ya nchi kulegeza vizuizi vya watu kubakia majumbani imeonesha baadhi ya changamoto zitakazoyakabili mataifa siku za usoni.

  • China yaipa WHO dola milioni 50 baada ya US kulikatia misaada shirika hilo la UN

    China yaipa WHO dola milioni 50 baada ya US kulikatia misaada shirika hilo la UN

    Apr 23, 2020 22:02

    China imeliongeza Shirika la Afya Duniani (WHO) msaada wa dola milioni 30 za Marekani za kudhibiti mlipuko wa maambukizi ya virusi vya Corona duniani, siku chache baada ya Marekani kuikatia misaada taasisi hiyo ya Umoja wa Mataifa.

  • Hatua ya Marekani ya kusitisha mchango wake wa kifedha kwa Shirika la Afya Duniani

    Hatua ya Marekani ya kusitisha mchango wake wa kifedha kwa Shirika la Afya Duniani

    Apr 15, 2020 08:22

    Rais Donald Trump wa Marekani ametelekeza kivitendo tishio lake la kusitisha mchango wa kifedha ya nchi hiyo kwa shirika la Afya Duniani (WHO). Trump amedai kuwa, WHO imefeli katika kutekeleza majukumu yake.

  • UN yakerwa na hatua ya Trump kuikatia ufadhili WHO wakati huu wa Corona

    UN yakerwa na hatua ya Trump kuikatia ufadhili WHO wakati huu wa Corona

    Apr 15, 2020 03:44

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesisitizia udharura wa kuungwa mkono Shirika la Afya Duniani (WHO), muda mfupi baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kutangaza kuwa nchi hiyo imelikatia misaada yake ya kifedha shirika hilo.

  • WHO yatangaza mlipuko wa homa ya njano Sudan Kusini

    WHO yatangaza mlipuko wa homa ya njano Sudan Kusini

    Apr 14, 2020 08:40

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza habari ya mlipuko wa homa ya njano katika maeneo ya kusini mwa Sudan Kusini.

  • Tishio la Marekani la kuikatia misaada WHO wakati huu wa corona

    Tishio la Marekani la kuikatia misaada WHO wakati huu wa corona

    Apr 08, 2020 22:10

    Baada ya kuenea sana maambukizi ya kirusi cha corona nchini Marekani na kupamba moto lawama dhidi ya utendaji mbovu wa rais wa nchi hiyo katika kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19, Donald Trump amekuwa akitapatapa huku na huko kwa kutoa tuhuma zisizo na msingi. Huko nyuma aliilaumu China kuwa imechelewa kuijulisha Marekani kuhusu ugonjwa huo na sasa amelivurumishia Shirika la Afya Duniani WHO tuhuma hizo hizo na kutishia kulikatia misaada.

  • Tahadhari ya WHO kuhusu kasi ya kuongezeka virusi vya corona

    Tahadhari ya WHO kuhusu kasi ya kuongezeka virusi vya corona

    Mar 24, 2020 03:41

    Shirika la Afya Duniani WHO limetoa tahadhari kuhusiana na kasi kubwa ya kuenea virusi vya corona duniani.

  • Kuendelea vikwazo vya Marekani na mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya mfumo wa tiba wa Iran

    Kuendelea vikwazo vya Marekani na mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya mfumo wa tiba wa Iran

    Mar 20, 2020 08:18

    Katika siku za hivi karibuni Marekani imeendelea mtawalia kuiwekea vikwazo vipya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Corona; Shirika la Afya Duniani lapongeza elimu ya kitiba nchini Iran

    Corona; Shirika la Afya Duniani lapongeza elimu ya kitiba nchini Iran

    Mar 06, 2020 22:57

    Kirusi cha COVID-19 maarufu kama Corona hakijui mipaka na kimeenea kote duniani na kwa msingi huo mbali na jitihada za kitaifa, kuna jitihada za kimataifa za kukabiliana na ugonjwa huu kupitia kubadilishana uzoefu wa madaktari na Shirika la Afya Duniani (WHO).

  • WHO yazitaka nchi zote kuzidisha jitihada za kukabiliana na virusi vya Corona

    WHO yazitaka nchi zote kuzidisha jitihada za kukabiliana na virusi vya Corona

    Mar 06, 2020 04:21

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limezitaka nchi zote duniani kuzidisha juhudi za kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Corona.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS